AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
King of Afro pop in Africa and mult winner Artist Alikiba (KingKiba) hatimaye andelea kuonesha uwezo wake na kudhihirisha kuwa yeye ndiyo baba na mama wa mziki mzuri.
Wimbo huu ulioleak unaitwa "Maumivu per day" Enjoy the good music huku tukisubiria wimbo bora wa Mwaka "Nagharamia.
⇩⇩⇩
http://www.djmwanga.com/?m=1
Vipi school baby hauku hit alipo uvujisha
Usipate headache mkuu, Kwa taarifa tu, School baby imefanywa rasmi as a collabo na Ice prince, so stay tuned.
Haaaah ice prince zamani kashachuja ndo mmempata Leo usisahu kuvote kwa Mr icon MTV Ema
Ice prince kachuja mkuu...
Haaaah ice prince zamani kashachuja ndo mmempata Leo usisahu kuvote kwa Mr icon MTV Ema
Kachuja cku izi hamna anachoimba ice prince alikuwa yule wa oleku, jambo na whiskey ila toka alipotoa wimbo wa whiskey mwaka Jana kila nyimbo anayotoa inabuma ni mbaya
Kachuja cku izi hamna anachoimba ice prince alikuwa yule wa oleku, jambo na whiskey ila toka alipotoa wimbo wa whiskey mwaka Jana kila nyimbo anayotoa inabuma ni mbaya
Aiseeh..ila may be kachuja kwako .forbes mwaka huu ameshika no.3 marapper bora africa. Kama unafuatilia mziki kwa ushabiki sawa. ..
Duh hizi dharau sasa, Ice prince kachuja??.
Duh hizi dharau sasa, Ice prince kachuja??.
Unazugumzia list ya mwaka Jana sio mwaka huu ambapo number 1 alikuwa aka namba 2 sarkodie ndo maana nikakumbia toka last year alipotoa whisky hajatoa wimbo mkali tena
Duh! Kwahiyo King ameamua kuanza kubebwa na wanaume wenzake sio?!Usipate headache mkuu, Kwa taarifa tu, School baby imefanywa rasmi as a collabo na Ice prince, so stay tuned.
Duh! Kwahiyo King ameamua kuanza kubebwa na wanaume wenzake sio?!
Ebu weka ya mwaka huu.
Kwa rapper aliyepo mainstream kama zamani huwezi kusema ameshachuja kisa eti mwaka huu hakuna track yake iliyohit kama last year.
Halafu sjui unasema kachuja ukiwa unamlinganisha na nani?maana still ngoma zake hata za 2013..14..12..kama I swear..whisky..aloimba na AKA nimeisahau jina..na zingine still zinakick kwenye media kama MTV
Hahaha kama Mondy alivyobebwa na mwanaume mwenzake Davido
Hebu twende taratibu ndugu... tangu lini Forbes wakatoa list ya wanamuziki bora? Ni wanamuziki bora au wanamuziki wenye mkwanja zaidi?! Na kama umetengeneza cash za kutosha, unaweza kuwa kimya hata miaka 3 na zaidi na bado ukawa top ya Forbes-- mfano mzuri mchukulie P Diddy na Dr. Dre... hawapo active lakini bado wana-lead Forbes ListAiseeh..ila may be kachuja kwako .forbes mwaka huu ameshika no.3 marapper bora africa. Kama unafuatilia mziki kwa ushabiki sawa. ..
Alioimba na aka unaitwa word alifunikwa na aka na beat la don jazzy lilinfunika list ya rappers Africa IPO ivi
1. Aka South Africa
2. Sarkodie Ghana
3. Phyno Nigeria
4.Olamide Nigeria
5.Casper nyovest South africa
6.K.o South africa
7. M.anifest Ghana
8.K'naan Somalia
9.Zeus Bostwana
10 Ice prince Nigeria
Unaweza ona ice prince alivyoshuka mwaka huu uwezi kumuweka pamoja na mtu Kama aka, Casper, olamide, k.o au sarkodie amabao mwaka huu nyimbo zao zime hit Sana
Hebu twende taratibu ndugu... tangu lini Forbes wakatoa list ya wanamuziki bora? Ni wanamuziki bora au wanamuziki wenye mkwanja zaidi?! Na kama umetengeneza cash za kutosha, unaweza kuwa kimya hata miaka 3 na zaidi na bado ukawa top ya Forbes-- mfano mzuri mchukulie P Diddy na Dr. Dre... hawapo active lakini bado wana-lead Forbes List