New hit song by Alikiba-Maumivu per day

New hit song by Alikiba-Maumivu per day

Hahaha kama Mondy alivyobebwa na mwanaume mwenzake Davido
Ahsante kwa kunithibitishia kwamba kumbe King kaamua kubebwa na mwanaume mwenzake! Halafu nyie jamaa bhana,hivi wakati ule mnachonga mlitarajia kabisa kwamba Kiba hatakuja kuomba collabo kwa mtu?!!
 
Ok list nimeiona japo sjahakiki ndiyo hii.. but all in all huwezi sema ice kachuja wakati still shots on shots aloimba na sarkodie inarun media kwa upande wa rap. That why nikakuuliza unasema amechuja ukimlinganisha na nani? Ana jina kubwa tu ice ambalo haliwezi kupotea kwa miezi 8. Chukulia mfano wa Diddy mbele.

Nimemlinganisha ice prince na hawa rappers sarkodie, aka, Casper nyovest, olamide, k.o na phyno nimekundua ice prince hafui dafu kwao
 
Forbes huwa wanatoa mkuu. Itafute utaipata. Sizungumzii mkwanja wala nini nazungumzia ubora. Swali lingine...
Hawatoi ndugu yangu... Forbes huwa wanatoa list ya watu na mikwanja yao na si vinginevyo, na tena kwa sekta tofauti tofauti vinginevyo naweza kukuuliza nani msanii bora duniani according to Forbes!!!
 
Nimemlinganisha ice prince na hawa rappers sarkodie, aka, Casper nyovest, olamide, k.o na phyno nimekundua ice prince hafui dafu kwao

Ila kwa collabo na alikiba atampush tena mbali tu. Yes kwa sasa hata kwangu Siwezi mlinganisha sakordie na ice. Ila Phyno mkuu hahahaha.

All in all prince hajachuja na kama anacollabo na Alkiba Itampush saana. Halafu jamaa anaproject na jigga sjui ni lini but this year.
 
Hawatoi ndugu yangu... Forbes huwa wanatoa list ya watu na mikwanja yao na si vinginevyo, na tena kwa sekta tofauti tofauti vinginevyo naweza kukuuliza nani msanii bora duniani according to Forbes!!!
kedrick ebu ongea na jamaa spendagi ubishi
 
Last edited by a moderator:

Haaah pyhno Ana kimbiza wewe japo sielewagi Ana choimba ila Ana style ya kipekee ice prince ndio nilionaga kuna kipindi alipiga picha na akapost insta yupo na Jigga inawezekana maana Jigga kuna kipindi alikuwa anatafuta rappers wakali toka Africa awasaini
 
Hawatoi ndugu yangu... Forbes huwa wanatoa list ya watu na mikwanja yao na si vinginevyo, na tena kwa sekta tofauti tofauti vinginevyo naweza kukuuliza nani msanii bora duniani according to Forbes!!!
chige sorry...afrranking kuna collabo ya maandishi walifanya na forbes
 
Last edited by a moderator:
Haaah pyhno Ana kimbiza wewe japo sielewagi Ana choimba ila Ana style ya kipekee ice prince ndio nilionaga kuna kipindi alipiga picha na akapost insta yupo na Jigga inawezekana maana Jigga kuna kipindi alikuwa anatafuta rappers wakali toka Africa awasaini

Ila ingekuwa mimi ndo na rank aiseeh AKA hata top 5 nisingemweka
 
Ila ingekuwa mimi ndo na rank aiseeh AKA hata top 5 nisingemweka

Aka sio mkali Sana kazidiwa na sarkodie hata na casper nyovest japo wa south naona wanamuelewa aka kuliko Casper
 
Aka sio mkali Sana kazidiwa na sarkodie hata na casper nyovest japo wa south naona wanamuelewa aka kuliko Casper

Yeah..sarkodie jamaa anajua saana..nmependa remix yake ya ojuelegba.. AKA sio mbunifu kama wenzake angalia video ya all eyes on me then linganisha anachofanya tiger..kriss..ink
 
kedrick ebu ongea na jamaa spendagi ubishi
Aisee... kumbe kuweka kumbukumbu sawa ni ubishi badala ya wewe kunitajia hiyo list ili nami nielimike!!! Anyway, tufunge mjadala na wewe uendelee kuamini kwamba Forbes huwa wanatoa list ya wasanii bora duniani lakini mimi list yangu ya Forbes in 2015 hii hapa!!!!
 
Alioimba na aka unaitwa word alifunikwa na aka na beat la don jazzy lilinfunika list ya rappers Africa IPO ivi
1. Aka South Africa
2. Sarkodie Ghana
3. Phyno Nigeria
4.Olamide Nigeria
5.Casper nyovest South africa
6.K.o South africa
7. M.anifest Ghana
8.K'naan Somalia
9.Zeus Bostwana
10 Ice prince Nigeria
Unaweza ona ice prince alivyoshuka mwaka huu uwezi kumuweka pamoja na mtu Kama aka, Casper, olamide, k.o au sarkodie amabao mwaka huu nyimbo zao zime hit Sana

Phyno namuelewa sanaaaa akikazana atamfunika aka
 
Asiutoe ni wimbo wa kizamani.. Bongo flavor has gone beyond. Mbaya: old skúl haumfikish popote.
 
Ni vizuri kipi kinakuvutia kwa phyno fyno

Phyno ana extraordinary flows ingawa akiimba unaeza usimuelewe kwa jins anavochanganya lugha

Bt anarepresent culture yao kwenye hip hop kitu ambacho ni msing wa hip hop and ukimskiliza huchok in short hip hop yake haiboi

Ana flow, swagg na rhymes zake ni za kipekeeee 👌
 
Kweli kabisa me pia naimbaga nyimbo zako japo sielewi anachomaanisha hadi ni Google ila Ana style ya kipekee inayo mtofautisha na wenzake 🙌🙌🙌
 
Ebu weka ya mwaka huu.
Kwa rapper aliyepo mainstream kama zamani huwezi kusema ameshachuja kisa eti mwaka huu hakuna track yake iliyohit kama last year.

Halafu sjui unasema kachuja ukiwa unamlinganisha na nani?maana still ngoma zake hata za 2013..14..12..kama I swear..whisky..aloimba na AKA nimeisahau jina..na zingine still zinakick kwenye media kama MTV
Mkuu yani hao utabishana nao hadi kesho sio kama hawaelewi ila ni ushabiki tu huo tena ushabiki maandazi
 
Alioimba na aka unaitwa word alifunikwa na aka na beat la don jazzy lilinfunika list ya rappers Africa IPO ivi
1. Aka South Africa
2. Sarkodie Ghana
3. Phyno Nigeria
4.Olamide Nigeria
5.Casper nyovest South africa
6.K.o South africa
7. M.anifest Ghana
8.K'naan Somalia
9.Zeus Bostwana
10 Ice prince Nigeria
Unaweza ona ice prince alivyoshuka mwaka huu uwezi kumuweka pamoja na mtu Kama aka, Casper, olamide, k.o au sarkodie amabao mwaka huu nyimbo zao zime hit Sana
We jamaa muongo hio shortlist hata mmi naweza nikaandika ya kwangu
 
We jamaa muongo hio shortlist hata mmi naweza nikaandika ya kwangu

UnAjua nini kuhusu mziki we najua iyo list nikikuambia unitajie nyimbo 10 za hao wasanii utonijibu ubishi wa me nilikuwa naongea na watu wanaojua mziki sio hongei na kuhusu kibakuli hapa
 
Back
Top Bottom