Ahsante kwa kunithibitishia kwamba kumbe King kaamua kubebwa na mwanaume mwenzake! Halafu nyie jamaa bhana,hivi wakati ule mnachonga mlitarajia kabisa kwamba Kiba hatakuja kuomba collabo kwa mtu?!!Hahaha kama Mondy alivyobebwa na mwanaume mwenzake Davido