New hit song by Alikiba-Maumivu per day

New hit song by Alikiba-Maumivu per day

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
King of Afro pop in Africa and mult winner Artist Alikiba (KingKiba) hatimaye andelea kuonesha uwezo wake na kudhihirisha kuwa yeye ndiyo baba na mama wa mziki mzuri.

Wimbo huu ulioleak unaitwa "Maumivu per day" Enjoy the good music huku tukisubiria wimbo bora wa Mwaka "Nagharamia.

⇩⇩⇩
http://www.djmwanga.com/?m=1
 
Vipi school baby hauku hit alipo uvujisha
 
Usipate headache mkuu, Kwa taarifa tu, School baby imefanywa rasmi as a collabo na Ice prince, so stay tuned.

Haaaah ice prince zamani kashachuja ndo mmempata Leo usisahu kuvote kwa Mr icon MTV Ema
 
Ice prince kachuja mkuu...

Kachuja cku izi hamna anachoimba ice prince alikuwa yule wa oleku, jambo na whiskey ila toka alipotoa wimbo wa whiskey mwaka Jana kila nyimbo anayotoa inabuma ni mbaya
 
Mkuu vip umeisikia lakin hyo maumivu per day, nini maoni yako
 
Kachuja cku izi hamna anachoimba ice prince alikuwa yule wa oleku, jambo na whiskey ila toka alipotoa wimbo wa whiskey mwaka Jana kila nyimbo anayotoa inabuma ni mbaya

Aiseeh..ila may be kachuja kwako .forbes mwaka huu ameshika no.3 marapper bora africa. Kama unafuatilia mziki kwa ushabiki sawa. ..
 
Unazugumzia list ya mwaka Jana sio mwaka huu ambapo number 1 alikuwa aka namba 2 sarkodie ndo maana nikakumbia toka last year alipotoa whisky hajatoa wimbo mkali tena
 
Duh hizi dharau sasa, Ice prince kachuja??.

Kachuja sasa unabisha au? Inaelekea umemjua Ice Prince baada ya Kiba kuombewa collabo nae na Jokate. Katika marapper wanaohit Nigeria sahv Ice Prince kapuni hayupo
 
Unazugumzia list ya mwaka Jana sio mwaka huu ambapo number 1 alikuwa aka namba 2 sarkodie ndo maana nikakumbia toka last year alipotoa whisky hajatoa wimbo mkali tena

Ebu weka ya mwaka huu.
Kwa rapper aliyepo mainstream kama zamani huwezi kusema ameshachuja kisa eti mwaka huu hakuna track yake iliyohit kama last year.

Halafu sjui unasema kachuja ukiwa unamlinganisha na nani?maana still ngoma zake hata za 2013..14..12..kama I swear..whisky..aloimba na AKA nimeisahau jina..na zingine still zinakick kwenye media kama MTV
 
Alioimba na aka unaitwa word alifunikwa na aka na beat la don jazzy lilinfunika list ya rappers Africa IPO ivi
1. Aka South Africa
2. Sarkodie Ghana
3. Phyno Nigeria
4.Olamide Nigeria
5.Casper nyovest South africa
6.K.o South africa
7. M.anifest Ghana
8.K'naan Somalia
9.Zeus Bostwana
10 Ice prince Nigeria
Unaweza ona ice prince alivyoshuka mwaka huu uwezi kumuweka pamoja na mtu Kama aka, Casper, olamide, k.o au sarkodie amabao mwaka huu nyimbo zao zime hit Sana
 
Hahaha kama Mondy alivyobebwa na mwanaume mwenzake Davido

Best rapper's kwa Africa now ni aka, sarkodie, Casper nyovest, k.o phyno na olamide cjui hata Kama mmoja. Unamjua hapo ila Fanya kutafuta kazi zao utajua kwann nakuambia ice prince kachuja
 
Aiseeh..ila may be kachuja kwako .forbes mwaka huu ameshika no.3 marapper bora africa. Kama unafuatilia mziki kwa ushabiki sawa. ..
Hebu twende taratibu ndugu... tangu lini Forbes wakatoa list ya wanamuziki bora? Ni wanamuziki bora au wanamuziki wenye mkwanja zaidi?! Na kama umetengeneza cash za kutosha, unaweza kuwa kimya hata miaka 3 na zaidi na bado ukawa top ya Forbes-- mfano mzuri mchukulie P Diddy na Dr. Dre... hawapo active lakini bado wana-lead Forbes List
 
Alioimba na aka unaitwa word alifunikwa na aka na beat la don jazzy lilinfunika list ya rappers Africa IPO ivi
1. Aka South Africa
2. Sarkodie Ghana
3. Phyno Nigeria
4.Olamide Nigeria
5.Casper nyovest South africa
6.K.o South africa
7. M.anifest Ghana
8.K'naan Somalia
9.Zeus Bostwana
10 Ice prince Nigeria
Unaweza ona ice prince alivyoshuka mwaka huu uwezi kumuweka pamoja na mtu Kama aka, Casper, olamide, k.o au sarkodie amabao mwaka huu nyimbo zao zime hit Sana

Ok list nimeiona japo sjahakiki ndiyo hii.. but all in all huwezi sema ice kachuja wakati still shots on shots aloimba na sarkodie inarun media kwa upande wa rap. That why nikakuuliza unasema amechuja ukimlinganisha na nani? Ana jina kubwa tu ice ambalo haliwezi kupotea kwa miezi 8. Chukulia mfano wa Diddy mbele.
 
Hebu twende taratibu ndugu... tangu lini Forbes wakatoa list ya wanamuziki bora? Ni wanamuziki bora au wanamuziki wenye mkwanja zaidi?! Na kama umetengeneza cash za kutosha, unaweza kuwa kimya hata miaka 3 na zaidi na bado ukawa top ya Forbes-- mfano mzuri mchukulie P Diddy na Dr. Dre... hawapo active lakini bado wana-lead Forbes List

Forbes huwa wanatoa mkuu. Itafute utaipata. Sizungumzii mkwanja wala nini nazungumzia ubora. Swali lingine...
 
Back
Top Bottom