New hit song by Alikiba-Maumivu per day

Kwa staili hii kila siku utabaki kulia lia tu kwamba "oh, unajifanya unajua!" Yaani hata Enow mwenyewe akisikia unasema yeye ni moja ya marapa bora Afrika ataku-mind manake atajua unamkejeli kumbe ufahamu wako ndo umeishia hapo!!!
Unamjua kwanza ?? Ila mi sitaki essay hapa
 
chige unaharibu hii thread ya watu aisee hebu vunga unijua nyimbo mpya ya alikiba maumivu kwanza au ??
 
Last edited by a moderator:

Mkuu rapper watu yupo number ngap??
 
Alishinda category gani MTV mama maana best hip hop artist ni Casper nyovest wa south Africa huyo Stanley alishinda category gani pwilo
Category ya francophone
Nominees wa MTV MAMA 2014 kwa hii hapa:
Best Francophone:
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)

Youssoupha (Congo)
Source hii hapa MTV MAMA

Sasa alishinda vp category ya Francafone ikiwa hata kuwa nominated kwenye hiyo category hakuwa nominated?
 
Mimi na wewe jana haya tulishayamaliza sema kuna kuna mtu anapenda sana league wakati mweupe!

Haha haya bhana...ila point yangu mimi ilikuwa
1. Ice prince zamani hajachuja may be unamlinganisha na artist wa hiphop waliouza saana mwaka huu africa kama sarkodie. Maana track zake kuanzia 2013 zinarun media kama shots on shots

2. Sio underground

3. Collabo yake na Alkiba Itampush saana kiba coz jamaa tayari ana base ya fans wengi hasa south..West Africa na hata mbele.
 
chige unaharibu hii thread ya watu aisee hebu vunga unijua nyimbo mpya ya alikiba maumivu kwanza au ??
Nyimbo ya Kiba ipi? Hivi umeshawahi kusikia wimbo mzuri unavuja? Ningesikia Kiba ka-release wimbo, ningeutafuta lakini eti umevuja halafu unatarajia nipoteze muda wangu!!!
 
Na mie hoja yangu wala haikuwa kwenye kuchuja au kutochuja kwa Ice Prince. Nilitaka kuweka sawa kwamba tusitumie orodha ya Forbes kama kigezo cha kuonesha ubora wa mwanamuziki coz' wao wanatoa orodha ya Richest So and so..Hapa ndipo ilikuwa hoja yangu na ndio maana kama unakumbuka, nilisema unaweza usiwe active kwa muda mrefu na bado ukawa juu ya Forbes List na nikatoa mfano wa Dre na P Diddy!
 
Unamjua kwanza ?? Ila mi sitaki essay hapa
Hivi we si mtoto wa kiume wewe?! Unatia aibu kijana. By the way, JF ni jukwaa huru, ingekuwa nakuandikia wewe ningekutumia PM kwahiyo acha kulia lia mtoto wa kiume. Kuhusu kumjua nikuulize wewe ambae tangu mwanzo ushaonesha wala hujui unachoongea!
 
Yeah that's true broh...afrranking wali wa quote forbes nilichanganya mambo..Diddy hana heat tracks but forbes ni moja kati ya watu wanaorun.

But nilichogundua humu ndani kuna team kiba na mondy so kila mtu anavutia kwake. Ila mimi nafuatilia mziki hasa hiphop sina team. Collabo itamsaidia Alikiba saana.
 
Tatizo lako ndo hili kujifanya kila kitu unaju mwaka 2015 we unaleta habari za mwaka jana much know bwana punguza mhemko hata huelewi tunazungumzia nn wewe ""
 
Nyimbo ya Kiba ipi? Hivi umeshawahi kusikia wimbo mzuri unavuja? Ningesikia Kiba ka-release wimbo, ningeutafuta lakini eti umevuja halafu unatarajia nipoteze muda wangu!!!
Ndo maana nimekwambia acha kuharibu hii thread kumbe hata hujui inazungumzia nn unavamia tu"
 
Hivi we si mtoto wa kiume wewe?! Unatia aibu kijana. By the way, JF ni jukwaa huru, ingekuwa nakuandikia wewe ningekutumia PM kwahiyo acha kulia lia mtoto wa kiume. Kuhusu kumjua nikuulize wewe ambae tangu mwanzo ushaonesha wala hujui unachoongea!
Kumbe wewe ni demu ahsante kwa kunijulisha hilo ndo nlitaka nishangae mwanaume gani yupo hivi duu ungekuwa me ingekuwa hasara hii
 
dabo huyo jamaa usitegemee atakubali hata kama ni kweli ni m bishi huyo daa acha tu ngoja nikuache naye mimi kanishinda
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako ndo hili kujifanya kila kitu unaju mwaka 2015 we unaleta habari za mwaka jana much know bwana punguza mhemko hata huelewi tunazungumzia nn wewe ""
Nimekupa list ya 2014 coz' Stanley alichukua tuzo mwaka 2014 na sio 2015! Kwani hoja ilikuwa kuwa nominated au kuchukua tuzo? Kama ushashau tayari, hoja yenu hii hapa:
Alishinda category gani MTV mama maana best hip hop artist ni Casper nyovest wa south Africa huyo Stanley alishinda category gani pwilo
 
Nimekupa list ya 2014 coz' Stanley alichukua tuzo mwaka 2014 na sio 2015! Kwani hoja ilikuwa kuwa nominated au kuchukua tuzo? Kama ushashau tayari, hoja yenu hii hapa:
2015 mi nimesema huyo ni kedrick sio mm
 
Ndo maana nimekwambia acha kuharibu hii thread kumbe hata hujui inazungumzia nn unavamia tu"
Dah! We jamaa wazazi wako wana hasara kishenzi manake kuwa na mtoto kama wewe kwenye familia ni mzigo!Mada inasema kama sio kwamba wimbo ulio-leak! Si ajabu hata tafsiri ya neno leak huijui vinginevyo usingesema sijui thread inazumgumzia nini wakati nishakuambia wimbo mzuri hauwezi kuvuja! Kijana, ukisikia LEAK ndo kuvuja!
 
dabo huyo jamaa usitegemee atakubali hata kama ni kweli ni m bishi huyo daa acha tu ngoja nikuache naye mimi kanishinda
Kwaheri, naona unanipotezea muda wangu!!!
 
Mi hapo kwenye essay ndo unazingua we ni mwalimu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…