Mimi na wewe jana haya tulishayamaliza sema kuna kuna mtu anapenda sana league wakati mweupe!Hahaha chige naona bado mnabishana aseeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na wewe jana haya tulishayamaliza sema kuna kuna mtu anapenda sana league wakati mweupe!Hahaha chige naona bado mnabishana aseeh
Unamjua kwanza ?? Ila mi sitaki essay hapaKwa staili hii kila siku utabaki kulia lia tu kwamba "oh, unajifanya unajua!" Yaani hata Enow mwenyewe akisikia unasema yeye ni moja ya marapa bora Afrika ataku-mind manake atajua unamkejeli kumbe ufahamu wako ndo umeishia hapo!!!
Alioimba na aka unaitwa word alifunikwa na aka na beat la don jazzy lilinfunika list ya rappers Africa IPO ivi
1. Aka South Africa
2. Sarkodie Ghana
3. Phyno Nigeria
4.Olamide Nigeria
5.Casper nyovest South africa
6.K.o South africa
7. M.anifest Ghana
8.K'naan Somalia
9.Zeus Bostwana
10 Ice prince Nigeria
Unaweza ona ice prince alivyoshuka mwaka huu uwezi kumuweka pamoja na mtu Kama aka, Casper, olamide, k.o au sarkodie amabao mwaka huu nyimbo zao zime hit Sana
Alishinda category gani MTV mama maana best hip hop artist ni Casper nyovest wa south Africa huyo Stanley alishinda category gani pwilo
Nominees wa MTV MAMA 2014 kwa hii hapa:Category ya francophone
Mimi na wewe jana haya tulishayamaliza sema kuna kuna mtu anapenda sana league wakati mweupe!
Nyimbo ya Kiba ipi? Hivi umeshawahi kusikia wimbo mzuri unavuja? Ningesikia Kiba ka-release wimbo, ningeutafuta lakini eti umevuja halafu unatarajia nipoteze muda wangu!!!chige unaharibu hii thread ya watu aisee hebu vunga unijua nyimbo mpya ya alikiba maumivu kwanza au ??
Na mie hoja yangu wala haikuwa kwenye kuchuja au kutochuja kwa Ice Prince. Nilitaka kuweka sawa kwamba tusitumie orodha ya Forbes kama kigezo cha kuonesha ubora wa mwanamuziki coz' wao wanatoa orodha ya Richest So and so..Hapa ndipo ilikuwa hoja yangu na ndio maana kama unakumbuka, nilisema unaweza usiwe active kwa muda mrefu na bado ukawa juu ya Forbes List na nikatoa mfano wa Dre na P Diddy!Haha haya bhana...ila point yangu mimi ilikuwa
1. Ice prince zamani hajachuja may be unamlinganisha na artist wa hiphop waliouza saana mwaka huu africa kama sarkodie. Maana track zake kuanzia 2013 zinarun media kama shots on shots
2. Sio underground
3. Collabo yake na Alkiba Itampush saana kiba coz jamaa tayari ana base ya fans wengi hasa south..West Africa na hata mbele.
Watu unaamanisha wetu, au?Mkuu rapper watu yupo number ngap??
Hivi we si mtoto wa kiume wewe?! Unatia aibu kijana. By the way, JF ni jukwaa huru, ingekuwa nakuandikia wewe ningekutumia PM kwahiyo acha kulia lia mtoto wa kiume. Kuhusu kumjua nikuulize wewe ambae tangu mwanzo ushaonesha wala hujui unachoongea!Unamjua kwanza ?? Ila mi sitaki essay hapa
Na mie hoja yangu wala haikuwa kwenye kuchuja au kutochuja kwa Ice Prince. Nilitaka kuweka sawa kwamba tusitumie orodha ya Forbes kama kigezo cha kuonesha ubora wa mwanamuziki coz' wao wanatoa orodha ya Richest So and so..Hapa ndipo ilikuwa hoja yangu na ndio maana kama unakumbuka, nilisema unaweza usiwe active kwa muda mrefu na bado ukawa juu ya Forbes List na nikatoa mfano wa Dre na P Diddy!
Tatizo lako ndo hili kujifanya kila kitu unaju mwaka 2015 we unaleta habari za mwaka jana much know bwana punguza mhemko hata huelewi tunazungumzia nn wewe ""Nominees wa MTV MAMA 2014 kwa hii hapa:
Best Francophone:
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)
Youssoupha (Congo)
Source hii hapa MTV MAMA
Sasa alishinda vp category ya Francafone ikiwa hata kuwa nominated kwenye hiyo category hakuwa nominated?
Ndo maana nimekwambia acha kuharibu hii thread kumbe hata hujui inazungumzia nn unavamia tu"Nyimbo ya Kiba ipi? Hivi umeshawahi kusikia wimbo mzuri unavuja? Ningesikia Kiba ka-release wimbo, ningeutafuta lakini eti umevuja halafu unatarajia nipoteze muda wangu!!!
Kumbe wewe ni demu ahsante kwa kunijulisha hilo ndo nlitaka nishangae mwanaume gani yupo hivi duu ungekuwa me ingekuwa hasara hiiHivi we si mtoto wa kiume wewe?! Unatia aibu kijana. By the way, JF ni jukwaa huru, ingekuwa nakuandikia wewe ningekutumia PM kwahiyo acha kulia lia mtoto wa kiume. Kuhusu kumjua nikuulize wewe ambae tangu mwanzo ushaonesha wala hujui unachoongea!
Nimekupa list ya 2014 coz' Stanley alichukua tuzo mwaka 2014 na sio 2015! Kwani hoja ilikuwa kuwa nominated au kuchukua tuzo? Kama ushashau tayari, hoja yenu hii hapa:Tatizo lako ndo hili kujifanya kila kitu unaju mwaka 2015 we unaleta habari za mwaka jana much know bwana punguza mhemko hata huelewi tunazungumzia nn wewe ""
Alishinda category gani MTV mama maana best hip hop artist ni Casper nyovest wa south Africa huyo Stanley alishinda category gani pwilo
2015 mi nimesema huyo ni kedrick sio mmNimekupa list ya 2014 coz' Stanley alichukua tuzo mwaka 2014 na sio 2015! Kwani hoja ilikuwa kuwa nominated au kuchukua tuzo? Kama ushashau tayari, hoja yenu hii hapa:
Dah! We jamaa wazazi wako wana hasara kishenzi manake kuwa na mtoto kama wewe kwenye familia ni mzigo!Mada inasema kama sio kwamba wimbo ulio-leak! Si ajabu hata tafsiri ya neno leak huijui vinginevyo usingesema sijui thread inazumgumzia nini wakati nishakuambia wimbo mzuri hauwezi kuvuja! Kijana, ukisikia LEAK ndo kuvuja!Ndo maana nimekwambia acha kuharibu hii thread kumbe hata hujui inazungumzia nn unavamia tu"
dabo huyo jamaa usitegemee atakubali hata kama ni kweli ni m bishi huyo daa acha tu ngoja nikuache naye mimi kanishinda
Kwaheri, naona unanipotezea muda wangu!!!Yeah that's true broh...afrranking wali wa quote forbes nilichanganya mambo..Diddy hana heat tracks but forbes ni moja kati ya watu wanaorun.
But nilichogundua humu ndani kuna team kiba na mondy so kila mtu anavutia kwake. Ila mimi nafuatilia mziki hasa hiphop sina team. Collabo itamsaidia Alikiba saana.
Mi hapo kwenye essay ndo unazingua we ni mwalimu??Dah! We jamaa wazazi wako wana hasara kishenzi manake kuwa na mtoto kama wewe kwenye familia ni mzigo!Mada inasema kama sio kwamba wimbo ulio-leak! Si ajabu hata tafsiri ya neno leak huijui vinginevyo usingesema sijui thread inazumgumzia nini wakati nishakuambia wimbo mzuri hauwezi kuvuja! Kijana, ukisikia LEAK ndo kuvuja!