Nimekupa list ya 2014 coz' Stanley alichukua tuzo mwaka 2014 na sio 2015! Kwani hoja ilikuwa kuwa nominated au kuchukua tuzo? Kama ushashau tayari, hoja yenu hii hapa:
Kwaheri, naona unanipotezea muda wangu!!!
Francophone ni mziki wenye asili au lugha ya ki France sasa cha ajabu nini hapo kedrick
Mkuu rapper watu yupo number ngap??
Francophone ni mziki wenye asili au lugha ya ki France sasa cha ajabu nini hapo kedrick
Dah, kumbe we jamaa haifai kukuchukulia kwa hasira ila tunapaswa kukuelimisha! Eti Francophone ni muziki wenye asili au lugha ya Kifaransa!Francophone ni mziki wenye asili au lugha ya ki France sasa cha ajabu nini hapo kedrick
Hapana Mkuu, nilikuwa namuambia pwilo manake haelewi huyu kijana!! Halafu unajua mie nina mdogo wangu na yaani haelewi hadi unaweza kupasuka kichwa kama unamwelekeza jambo! Sisi tunamwita Pwingo; jina la kilugha lenye maana kichwa nazi sasa nahofia isije ikawa ndo huyu lakini ame-modify jina na kujiita Pwilo. We Pwilo, jina lako kamili nani wewe manake nisije nikawa nabishana na kichwa nazi wa hapa home!!Kiaje.......
Nimefuatilia malumbano hadi hapo yalipofikia nikagundua kumbe ninaupande ambao unajua muziki na si wafuata mkumbo, asanteni sana chige na kedrick kwa kuwaelimisha hao vijana. Nikija kwenye leaking a.k.a kuvuja mi naona kibakuli kwa nyimbo hii atasubiri sana foleni ngoja Dimpoz azidi kumnyoosha kimya kimya.