New hit song by Alikiba-Maumivu per day

New hit song by Alikiba-Maumivu per day

Nimekupa list ya 2014 coz' Stanley alichukua tuzo mwaka 2014 na sio 2015! Kwani hoja ilikuwa kuwa nominated au kuchukua tuzo? Kama ushashau tayari, hoja yenu hii hapa:

Haaah umemkamata chige tena nipo kuangalia MTV mama awards 2015 best francophone alichukua DJ araphat haaah kuja hapa pwilo huyu Stanley c anafanya hip hop kaingiaje uku hii category ndo maana nakuambiaga pwilo ujui mziki ww unavamiaga tu
 
Last edited by a moderator:

Francophone ni mziki wenye asili au lugha ya ki France sasa cha ajabu nini hapo kedrick
 
Last edited by a moderator:
Francophone ni mziki wenye asili au lugha ya ki France sasa cha ajabu nini hapo kedrick

Ila Stanley hakuwa nominated kwa iyo category npo kucheki MTV mama diamond Ana kinukisha na izo nyimbo za kifarance zinatakiwa ziwe km za toofan au DJ Arafat ndo ziningia
 
Last edited by a moderator:
Francophone ni mziki wenye asili au lugha ya ki France sasa cha ajabu nini hapo kedrick
Dah, kumbe we jamaa haifai kukuchukulia kwa hasira ila tunapaswa kukuelimisha! Eti Francophone ni muziki wenye asili au lugha ya Kifaransa!
 
Kiaje.......
Hapana Mkuu, nilikuwa namuambia pwilo manake haelewi huyu kijana!! Halafu unajua mie nina mdogo wangu na yaani haelewi hadi unaweza kupasuka kichwa kama unamwelekeza jambo! Sisi tunamwita Pwingo; jina la kilugha lenye maana kichwa nazi sasa nahofia isije ikawa ndo huyu lakini ame-modify jina na kujiita Pwilo. We Pwilo, jina lako kamili nani wewe manake nisije nikawa nabishana na kichwa nazi wa hapa home!!
 
Last edited by a moderator:
Nimefuatilia malumbano hadi hapo yalipofikia nikagundua kumbe ninaupande ambao unajua muziki na si wafuata mkumbo, asanteni sana chige na kedrick kwa kuwaelimisha hao vijana. Nikija kwenye leaking a.k.a kuvuja mi naona kibakuli kwa nyimbo hii atasubiri sana foleni ngoja Dimpoz azidi kumnyoosha kimya kimya.
 
Last edited by a moderator:
Kuna nini kipya kwenye ule wimbo!? Style ya kuimba ni ileile ya enzi za cinderela
 
Nimefuatilia malumbano hadi hapo yalipofikia nikagundua kumbe ninaupande ambao unajua muziki na si wafuata mkumbo, asanteni sana chige na kedrick kwa kuwaelimisha hao vijana. Nikija kwenye leaking a.k.a kuvuja mi naona kibakuli kwa nyimbo hii atasubiri sana foleni ngoja Dimpoz azidi kumnyoosha kimya kimya.

Haaah bora umeliona hilo mkuu humu ndani kuna watu wanabisha tu bila fact na mziki haujui kivyo
 
Last edited by a moderator:
Sijawai kuusikia huu wimbo popote ndio leo nasikia kuna wimbo kama huu alafu tunaambiwa hit song teh teh...

Hit Song...ya wapi? Bado naamini alikiba anaendesha biashara ya muziki ki local sana tena sana na ana management mbovu kuliko wasanii wote wakubwa tanzania!

Alikiba Kama unasoma hapa jitazame upya wasikupambe bure biashara ya muziki umeishindwa unatakiwa kujipanga upya auendani na matakwa ya biashara badilika kabisa.....!
 
Back
Top Bottom