#COVID19 New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

Ushoga wa babaako usikudanganye kwamba kila mtu ni shoga. Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Kajisemea CAG Assad that you’re suffering from Acquired Stupidity disease.

Hahahaaaa....

We dalali wa MABEBERU nimeshakueleza, Tanzania chanjo ni MWIKO.

Mkadungane huko huko na mashoga wenzako!

Ni MWIKO! na MSIJARIBU.
 
Wapinga chanjo wana mna kazi ya kuokoteza vijihabari huko mitandaoni ilimradi tuu muoneshe kuwa chanjo haifai. Wewe unazungimzia kifo cha watu hamsini ambao inawezekana hata wakafa kwa ajali ya kawaida.kwanini hugusii watu zaidi ya milioni mia 8 ambao wameshapata chanjo na wana survive?
 
Ushoga wa babaako usikudanganye kwamba kila mtu ni shoga. Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Kajisemea CAG Assad that you’re suffering from Acquired Stupidity disease.
CHANJO NI MWIKO!

MWIKOO! Pumbaffu!
 
Sukuma gang ni kundi la vilaza kweli kweli, yaani iq na uelewa ni mdogo kweli kweli kama ngedere, yaani wao wanaamini kila kitu walicho aminishwa na jiwe , bila hata kufikiria kidogo tuu!
 
Mzigo umeshaingia jamani, andaeni mabega tu 🤸🐒🤣

Kuna watu ambao waliwahi kupata korona wakapona, lakini baada ya miezi michache wakapata tena korona. Hii maana yake ni kwamba kama natural infection imeshindwa kutoa kinga ya kueleweka, hizo chanjo ni upuuzi mtupu......unapata madhara mara mbili, yaani unadungwa sumu wanazoita chanjo na bado utaugua na hata kufa. Kwa sababu hizo chanjo zina madhara ambayo yamekwisha jitokeza na hatujui madhara ya muda mrefu maana bado ndo zipo kwenye hatua za awali za utafiti, ni bora zaidi watu wategemee kinga inayotokana na watu kupata uambukizi na kupona, watakaofariki ndo itakuwa bahati mbaya na tutawaombea kwa Mungu Mwenyezi aweze kuwarehemu. Kwa hiyo napendekeza zaidi njia za kujikinga, kama kutumia barakoa kwenye mikusanyiko, kuzingatia kutumia vitakasa mikono, na kupunguza mizunguko isiyo ya lazima.......pia tuhakikishe wazee wanatumia muda mwingi kusalia majumbani.
 
Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.
Dj anaendeleaje huko aliko
 
Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.
Kwahyo awe na chanjo,barakoa na sanitizer muda wote mpaka afe??

Kwanini asipogwe chanjo tu awe protected,au avae barakoa?
 
Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali, serikali imejitoa kwa yoyote yatakayokukuta ukipewa chanjo usije kuilaumu wala kuishtaki.
Serikali imefanya kama alivyofanya pirato kwa kumuhukumu Yesu adhabu ya kifo kisha akanawa mikono kwamba yeye hajahusika kumuua
 
Basi wote waliodanja hawakuamini katika chanjo ,hivyo kama huamini usiitafute ili usije isingizia chanjo buree!
 
Kwanini unatumia lugha Kali na matusi ili ueleweke? Inaelekea hujui lolote kuhusu chanjo na inafanyeje kazi. Kwa kukuongezea uwezo nakushauri jaribu kusoma vitu uvielewe Kabla ya kutoa uzi ili uweze kutetea hoja yako kwa ushawishi wa hoja zaidi
 
Basi wote waliodanja hawakuamini katika chanjo ,hivyo kama huamini usiitafute ili usije isingizia chanjo buree!
Watu wasiokuwa wataalamu Wanatoa mawazo yao na kataka yawe kweli bila ushahidi. Ingekuwa watu wanapona kwa Imani Kuna ulazima gani kwa wagonjwa kwenda hospital badala ya kwenda kwenye nyumba za Imani. Hii Corona ndiyo inaonyesha uwezo wa kuelewa baadhi ya watanzania kuhusiana na magonjwa
 
Soma elewa,acha kuvagaa mambo
 
Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.
Tumia chanjo mkuu

mmeililia sana sasa imekuja mnataka nini tena
 
Tungekuwa twaogopa UKIMWI kama tunavyoogopa chanjo ya Corona, tusingesumbuliwa na UKIMWI kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…