Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mbona hata sulphur ina reaction?Hapo propaganda ipo wapi? Hiyo habari imeripotiwa huko US ambako wao wanaamini chanjo, Sasa iweje Tena useme propaganda?
Hapo umepewa tu tahadhari kuwa chanjo haizuii corona wwla haizuii wewe kufa kwa corona.
Ila wewe jamaa ni fala Sana na mjinga mkubwa
Naona uvivu hata kukujibu.Una uhakika kachomwa kitu gani? Inaweza kuwa maji tu ili Ku promote hizo chanjo.
Ma arv yametoka kwa wazungu ila wanayabugia kwa umakini sana .Tungekuwa twaogopa UKIMWI kama tunavyoogopa chanjo ya Corona, tusingesumbuliwa na UKIMWI kiasi hiki.
Jibu lako hili linatosha.Naona uvivu hata kukujibu.
Kama hataki chanjo usiende kuchomwa. Sio lazima aende ila msianzr kukata uzushi kuwa chanjo ni mbaya ili hali mna maalama ya ndui na hamjafa
Hebu tupe uzoefu wa vijiko kunasia mwilini tafadhali.Mie nimepata chanjo zote mbili toka February lakini bado navaa barakoa. Ni chaguo lako kwani huu ugonjwa umetengenezwa China na sijui kama bahati mbaya au maksudi umeletwA kutupunguza duniani.
Ma arv yametoka kwa wazungu ila wanayabugia kwa umakini sana .
Hebu tupe uzoefu wa vijiko kunasia mwilini tafadhali.
Umejibu vyema..Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.
Well explained.Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.
Ndio maana nimesemaa wewe huna akili.Naona uvivu hata kukujibu.
Kama hataki chanjo usiende kuchomwa. Sio lazima aende ila msianzr kukata uzushi kuwa chanjo ni mbaya ili hali mna maalama ya ndui na hamjafa
Nashauri zianzie machame maana kule koona inatembeza kichapo si cha kawaidaWazee wa Propaganda pumzi imekata! Mzigo ushaingia!
Maliamao, vitunguu na tangawiziMitanzania bana. Chanjo hamtaki na hamsemi tutumie nini ili koona isitumalize.
Hio habari walizungumzia chanjo ya mchina. Kwahio sijui kwani sikutumia chanjo hio.Hebu tupe uzoefu wa vijiko kunasia mwilini tafadhali.
Tanzania imeletwa Johnson and Johnson. Sikuchoma hioWewe ulichanjwa chanjo gani? Na hii iliyoletwa Tanzania inaitwa nini? Ebu wekeni wazi.
Wambieni serikali sasa itangazwe rasmi kwamba tunatumia nyungu sisi hatuamini njia za kisayansi.Maliamao, vitunguu na tangawizi
Mbona hata sulphur ina reaction?
Kuna watu lazima watapata madhara kwa sababu sana complications. Usijitoe ufahamu
Chanjo zimeletwa kwa mnaoamini, na watu wa vipato vya kati na vikubwa (wanaoishi kizungu) ....ila wananchi mfano wa kariakoo ama walioko kigoma leo kwenye mechi sisi ni nyungu na malimao tuWambieni serikali sasa itangazwe rasmi kwamba tunatumia nyungu sisi hatuamini njia za kisayansi.
Oohooo nooo😢😢😢Mie nimepata chanjo zote mbili toka February lakini bado navaa barakoa. Ni chaguo lako kwani huu ugonjwa umetengenezwa China na sijui kama bahati mbaya au maksudi umeletwA kutupunguza duniani.