New member: hodi hodi JF

New member: hodi hodi JF

Karibu sana mkuu ila umefanya josa kubwa sana kubisha hodi humu bila kupost picha yako kama unataka kusamehewa wee rushia picha yako kabla hujatiwa dhambini!!
 
Karibu sana
Ila tupiamo kapicha basi
 
Karibu sana.

Your photo pleaseeeeeeeeeeeeee
Huyu hapa
1478349449385.jpg

Karibu sana
Ila tupiamo kapicha basi

Full name and photo plz
 
Hbr jf,
Me ni member mpya naomba ukaribisho wenu.
ahsante
Karibu mama. Unajua hili jiji ni kubwa sana. Nitakuwa mwenyeji wako.Kuna katikati ya mji utapotea,panaitwa JUKWAA LA SIASA. Kuna sehwmu ya Starehe na kila aina ya burudani,kunaitwa ENTERTAIMENT na pengine JOKES. Kuna sehemu penye kila aina ya usaliti na mambo yoyo panaitwa MMU na kuna sehemu pa wanawake walozi na wambea panaitwa CELEBRITIES FORUM. Kuna sehemu pa watu wazito na walioenda umri kufanya shughuli husika katika eneo hilo panaitwa MAMBO YA KIKUBWA. Kuna sehemu za kujua mambo mbalimbali hapo panajulikana kama HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO.

Ahsante.
 
"I do sin, but I am not the devil" hiyo yako yangu ni "i am the devil from saturn"! karibu...
 
Back
Top Bottom