Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje.
Kwa miezi ya hivi karibuni since July, 2024 nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio imekuwa kama addiction I must open JF kila siku.
Mwanzo sikujiunga ila leo nimejiunga niwe member rasmi, navutiwa na baadhi ya members kama
JF ni kisima cha maarifa mitandao mingine inabidi ifutwe haha(joking...)
Natumaini kupata karibu zenu asanteni sana
🙂