MENERIKI II
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 642
- 1,294
Umemsahau hapo MENERIKI II
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiwa rais usinisahau kwenye jopo la mawaziri id ni hihiMi sibadili id labda siku nikiwa rais wa hii nchi
Ingekuwepo thread kwa anayetaka aeleze sababu za kuchagua ID anayotumia kuanzia jina mpaka na avatar anayotumia kama ina maana au ilikuja tu kichwaniwengi sana walikua na id za vituko wameamua kuja kivingine baada ya kugundua jf ni jukwa linaloweza kuwatoa walipo kwa kuwaongezea kitu
Unamjua Natafuta ajira weweHabari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje
...
Kwa miezi ya hivi karibuni (sept,oct,nov,dec 2024) nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio imekuwa kama addiction I must open JF kila siku
...
Mwanzo sikujiunga ila leo nimejiunga niwe member rasmi, navutiwa na baadhi ya members kama:
• Robert Heriel mtibeli
• Mshana Jr
• Raa Ree
• Patrickk
• Evalyne Salt
• Na wengineo wengi
JF ni kisima cha maarifa mitandao mingine inabidi ifutwe haha(joking...)
Natumaini kupata karibu zenu asanteni sana
😂😂😂😂ulimuona kwenye likes?
Mtafute humu anaitwa natafuta ajira.sijampata bado ni nani?
Labda anataka kusema kua mgeni ni mwenyeji wa jf ila kaja kivingine tu.Unataka kusemaje kwani? 😂
Hahahahhh hata mie nilimuelewa hivyo,tumpe muda atajisahauLabda anataka kusema kua mgeni ni mwenyeji wa jf ila kaja kivingine tu.
😀