New member: Ukisoma JF hata thread moja tu utake usitake utajiunga tu!

Nakautalaam kangu katech nimegundua JF inatumia BB codes kufanya kazi so hainipi shida japo ni kiswaswadu
 
Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje
...

Kwa miezi ya hivi karibuni (sept,oct,nov,dec 2024) nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio imekuwa kama addiction I must open JF kila siku
...
Mwanzo sikujiunga ila leo nimejiunga niwe member rasmi, navutiwa na baadhi ya members kama:
• Robert Heriel mtibeli
• Mshana Jr
• Raa Ree
• Patrickk
• Evalyne Salt
• Na wengineo wengi

JF ni kisima cha maarifa mitandao mingine inabidi ifutwe haha(joking...)
Natumaini kupata karibu zenu asanteni sana
New ID for an existing JF member, another fearful chameleon
 
Karibu sana JF
 
Back
Top Bottom