New member

New member

Mm huwez kunipata pia niko hapa jf miaka mingi sana.. ila naongelea haka ka ushamba kenu ka kuembrace ushamba wa new comers..why uombe picha na namba ya new comer kama sio ushamba flan unakusumbua??
Tatizo lenu mnakuja kishamba shamba. Kwetu ni burudani
 
Mm huwez kunipata pia niko hapa jf miaka mingi sana.. ila naongelea haka ka ushamba kenu ka kuembrace ushamba wa new comers..why uombe picha na namba ya new comer kama sio ushamba flan unakusumbua??
Bila shaka nawe utakuwa mhanga wa hiki ila baada ya kugundua kuwa umeingizwa kingi ukabadilisha ID ile nyingine ukaitelekeza
 
Mm huwez kunipata pia niko hapa jf miaka mingi sana.. ila naongelea haka ka ushamba kenu ka kuembrace ushamba wa new comers..why uombe picha na namba ya new comer kama sio ushamba flan unakusumbua??
Upo miaka mingi so ulikuwa unatuzingua kule kwenye uzi wako?
 
Hahhaaaa hii kasi nahisi ina ajenda maalum!
 
Karibu mgeni,ila ni mwiko kupiga watu mizinga humu maana nina mashaka na sura yako
 
Bottom ndio jina lako au
Basi viwatu vipo humu JF vinajifanya vimejifichaaaa...eti kila mgeni akija ni kujifanya kudiss na kuwacheka wageni tu..Shame on you, aina ya ushamba mwingine huo. Ukihitajika popote utakamatika tu hata ujiite pundamizigo.
 
Back
Top Bottom