New member

New member

Umeanza ushambenga wakati ulikuja jana tuu

Bottom tulia kwanza
Basi viwatu vipo humu JF vinajifanya vimejifichaaaa...eti kila mgeni akija ni kujifanya kudiss na kuwacheka wageni tu..Shame on you, aina ya ushamba mwingine huo. Ukihitajika popote utakamatika tu hata ujiite pundamizigo.
 
Karibu mkuu

Ila nakuomba utoe hiyo picha na namba pulizzz
 
Haahaha jf bwana eti wamejifichaaa na ID za uongo simu na computer zao zina IMEI bora mngekuwa mnaenda internet cafe kupost mambo.
Ni sawa na kusave jina la mchepuko wako eti Jay Zee namba ya tigo iliyosajiriwa
 
Hili Ni jukwaa huru kila mtu anahaki ya kufanya atakacho japo jamii forum hii si ile ya miaka ile ya kwetu wahenga kipind hicho smartphone adimu mjini hakun cha fb,whatsap Wala insta Wala snapchta wajanja pekee ndio tulikuwa tunamilik simu

Humu Leo watoto kibao wa kikaz Cha benjamin na kikwete had maguful kwahyo wacha tuone tu.

Wafanye watakavyo raha kwao maumivu kwa wengne
 
Karibu mkuu

Ila nakuomba utoe hiyo picha na namba pulizzz

Hivi kuna tatizo gani mtu akifanya jambo lolote kwa kupenda kwake mwenyewe bila kushurutishwa na mtu mfano kama kuweka taarifa zako za kweli na namba zako za simu?

Au siku hizi JF hairuhusu watu kuweka picha zao humu kwenye thread? as long as hajashurutishwa na mtu nadhani aachwe afanye what makes him happy n confortable,kuna kama kina Mshana Jr walishaweka picha zao kabisa na sijawahi kuona ukimshauri mshana atoe picha yake..labda kama sikuona comment yako.

Achilia mshana kuna raia kibao washaweka picha na taarifa zao za kweli,ni kitu gan hasa kinachowaogopesha watu mpk mnaona kwamba mtu hatakiwi weka picha yake humu?

Kuna wachawi au kuna wanga au kuna majini kuloga humu yanayowatisha wenzetu?
 
Okay
 
Rafiki nimeipenda chura hiyo![emoji4][emoji4][emoji4]
1568880834181.jpeg
 
Back
Top Bottom