New member

New member

Karibu sana. Humu kuna mengi mazuri na pia magumu. Kwakua umetuonyesha mpka sura yako, basi jitahidi uwe mstaarabu tofaut na wale form six wengine ambao wanakua sio wastaarabu. Utajifunza mengi sana ukiwa humu..
Jiamini, and enjoy the ride.
Asante kwa upendo na ukarimu wenu
 
Sema mkuu unaenda sana kasi na muda hucheleweshi pale unapoambiwa utumbe kitu kama ulivyofanya kwenye picha [emoji1].
Na uhakika siku zikizidi kwenda utarudi tena ki vingine na ID fake
 
Back
Top Bottom