officialmabanda
Member
- Jun 2, 2022
- 23
- 24
- Thread starter
- #21
Asante kwa upendo na ukarimu wenuKaribu sana. Humu kuna mengi mazuri na pia magumu. Kwakua umetuonyesha mpka sura yako, basi jitahidi uwe mstaarabu tofaut na wale form six wengine ambao wanakua sio wastaarabu. Utajifunza mengi sana ukiwa humu..
Jiamini, and enjoy the ride.