Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi for all member
Jee wajua kwamba kula na kunywa ni jambo muhimu sana katika maisha ya binaadamu lakini asilimia kubwa ya maradhi kwa nia moja au jingine yanasababishwa ( source) na chakula hivyo ili kuepuka maradhi zingatia haya:
principle 1" Usile mpaka uwe na njaa, na unapokula usile mpaka ukashiba sana"
Principle 2 " ligawa tumbo katka mafungu matatu, fungu la kwanza sehemu ya cha kula, sehemu ya pili, iwe ya maji na sehemu ya mwisho iwe ni ya hewa"
Zingatia nukuu hii
Mambo matatu mtu akidumu nayo kwa muda mrefu atakuwa na afya mbaya na magonjwa yasio isha, mambo hayo ni
1. Kudumu au kutumia ulevi kwa muda mrefu
2. Kufanya sex kwa sana
3. Kula vyakula pasipo mpangilio
Karibu sana jamvini, ila hii ungepeleka jukwaa la doctors.Jee wajua kwamba kula na kunywa ni jambo muhimu sana katika maisha ya binaadamu lakini asilimia kubwa ya maradhi kwa nia moja au jingine yanasababishwa ( source) na chakula hivyo ili kuepuka maradhi zingatia haya: