New member

New member

hapa sio mahala pake mods hamisha hii kitu
 
Ahsanteni kwa kunikaribisha na kunikosowa pale ambapo nimekosea
 
Jee wajua kwamba kula na kunywa ni jambo muhimu sana katika maisha ya binaadamu lakini asilimia kubwa ya maradhi kwa nia moja au jingine yanasababishwa ( source) na chakula hivyo ili kuepuka maradhi zingatia haya:
principle 1" Usile mpaka uwe na njaa, na unapokula usile mpaka ukashiba sana"
Principle 2 " ligawa tumbo katka mafungu matatu, fungu la kwanza sehemu ya cha kula, sehemu ya pili, iwe ya maji na sehemu ya mwisho iwe ni ya hewa"
Zingatia nukuu hii
Mambo matatu mtu akidumu nayo kwa muda mrefu atakuwa na afya mbaya na magonjwa yasio isha, mambo hayo ni
1. Kudumu au kutumia ulevi kwa muda mrefu
2. Kufanya sex kwa sana
3. Kula vyakula pasipo mpangilio
 
Azzurre wewe ni Mganga wa Tiba mbadala?
 
asante sana kwa health tip yako ni nzuri
 
Karibu sana jamvini, ila hii ungepeleka jukwaa la doctors.
 
Back
Top Bottom