New music audio Zuchu ft Diamond Platnumz

New music audio Zuchu ft Diamond Platnumz

Kusikiliza nyimbo za bongo ( Ukiacha Rnb ) baada ya miaka 5 hayo masikio yakiendelea kuwa na afya shukuru Mungu.
 
Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapaView attachment 1568361

Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema
"Tena wasipoteze muda kwa kura zao za kata,mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata."
All in all nyimbo ni nzuri

Hivi, hiyo ni application gani wanayotumia inakuwa wimbo unaimba huku CD inazunguka halafu kama equalizer zinapanda na kushuka hivi...?

Msaada wadau wa hiyo tasnia aisee. Thanks.
 
Nambieni kabisa nisije poteza mb zangu kuskliza takataka
 
Ni wimbo wa Harmonize na Ibrah
Upo nchi gani ?
Screenshot_2020-09-14-07-53-15.jpg
 
Back
Top Bottom