New music audio Zuchu ft Diamond Platnumz

Kusikiliza nyimbo za bongo ( Ukiacha Rnb ) baada ya miaka 5 hayo masikio yakiendelea kuwa na afya shukuru Mungu.
 

Hivi, hiyo ni application gani wanayotumia inakuwa wimbo unaimba huku CD inazunguka halafu kama equalizer zinapanda na kushuka hivi...?

Msaada wadau wa hiyo tasnia aisee. Thanks.
 
Nambieni kabisa nisije poteza mb zangu kuskliza takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…