New Season: Siwema amjibu Ney wa Mitego

New Season: Siwema amjibu Ney wa Mitego

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Daah, siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt, iko hivi😡nay, naomba usisahau kama ni wewe uliniambia nitafute boyfrnd.. tena ulintukania hd mamang marehem, nilikushukuru tu.. nilikaa kimya kwa siku kadhaa but nilirudi tena kukuomba msamaha..mamaako mzazi anajua, dadaako tina anajua...unasema umenifumania, jaribu kumuogopa mungu, we unakuja kwangu umekuta nmembeba curtis metoka kumpa maziwa..leo unasema umekuta mi nasex kitandani..dahh, ongea ukweli..Nay mimi ndio nilikua nakupenda, hukuwahi onyesha mapenzi hata siku1 kwangu, nilikua natetea penzi letu sanaaa..

mimi ndo napost insta watsap lakin hukuwah kuonyesha hlo japo unaeza sema ulinisamehe ile ishu ya obasanjo , wallah nilikupenda mungu anaona mpaka nikamkana yule baba alikua ananipa kila kitu nikaamua kua na wewe, sikuwah kuijua shida..naezasema ulinisamehe kinafiki caus tangia hapo hadi najifungua sikua na raha.. huu sio mwili wangu mimi, kila siku mamaako alikua analia na mimi, okey haijalishi umenifumania au nini caus tayari ulishanitamkia umenchoka nay.. namimi sio mjinga kusex sasahiv mwanangu akiwa mdogo..nmebeba mimba miez9, nmezaa kwa uchungu.. niwewe ndo ulisababisha mimi nisimnyonyeshe mwanangu cz sikuaeza kupata maziwa kwa sababu ya stress..

leo unatangaza umeninunulia gari, unanipa kila kitu..nay nini umenipa? Gari nimali yangu, where's ma lexus, verrosa? kweli hujawah kunipiga lakin ulikua unaninyanyasa. mwanamke yyte ambae angekua mimi lazima angecheat tu, wewe huyohyo unafanya enterview unaulizwa kuoa unasema huwez utashuka kimziki akati mimi niko kwako na mtoto mdogo...na moyo gani? vingap umenfanyia? siwez ongea kila kitu ila jua umenrudisha nyuma saaana tu. mamaako shahidi wangu!!...

unakumbuka ulikua unaniambia kila siku wewe una watoto, nikwel unao, wengi tu nawajua sio hawa watatu unaowasema.. waseme wooote.. sasa nataka nikwambie tu hivi hata curtis sio wako, babake ni obasanjo, yule alienivalisha pete!!..am done kwa hapa ila nna mengi tu, naumia sana sanaa!! pls nisiulizwe kitu tena wapenzi, nawapenda n thanx!!!


UPDATE

SIWEMA AMESEMA HAYA TENA;

. Nimeanza ku date na nay maisha ya geto, chumba kimoja hadi leo money maker, kipindi iko niko vzr saaaanaaa, kila mtu anajua..nilimpenda sana tu, sikufata jina..hakua na jina wala..kawaida sana ifahamike nilikua na ngwair( rip ) ...clara hujui unaongea nini mama ikno we rafikiake nay sana, naona msgs zenu sanaa, hujui unaongea nini acha niwe muongo..bt muulize mamaake..huezi jua mapenz ya watu..himjui nay ,4yrs niko nae..thank u,gd9t!!......done!!
 
Na Tetesi zinasema Kuw Ney wa Mitego na Siwema Wote Wamejiondoa Kwenye Instagram
 
Safi sana dada yangu.mwaume wa ukweli kulea mtoto wake njoo kwangu sina pesa ila mapenzi utashidwa wewe
 
Safi sana dada yangu.mwaume wa ukweli kulea mtoto wake njoo kwangu sina pesa ila mapenzi utashidwa wewe

Na wewe unataka Ubambikiwe mtoto.. Ney Wa Mitego sijui anajisikiaje sa Hv..

Inauma Kubambikiwa Mtoto kumbe si Wako halafu unampost Insta kila siku
 
Hata kama ulikuwa na mwanaume mwengine inahuuu???

Si alishakumwaga????
 
Huyo mtoto wa neema cku zote mwenye uwezo ndio hupewa mtoto hata kma si wake,pia huyu mtoto ukicheki pua kma ney sema mdada kaamua kuropoka 2 atoe stress zake.ngoja wavuane nguo tufaudu
 
Kavurugwa huyu binti, hivi haoni kama anajishushia heshima yake, eti kwanza mtoto sio wako....nyambafff.... Inaonesha ni jinsi gani alivyokuwa malaya....
 
hahaha hapo kwenye kumnunulia gari kumbe c yy pamenifurahisha. Huyo Ney amezid kufake life nilijua anaongea kwenye media ili kupata attention kumbe ilikua kwel huyo dem alikua anaumia. Ifike mahali wasanii wawe na elimu waache kuishi life la kuigiza adi majumbani mwao.
 
RGforever tafadhali weka hii habari vyema ili isomeke vyema na ieleweke!

Duu huyu si wema kweli kaumizwa hadi anamwambia jamaa mtoto si wake duu this is very interesting! Katika hili naona kuna sehemu Ney alikosea na Kweli alikuwa hana ubinadamu na hana heshima kwa Mama watoto wake!

Kuna mambo alitakiwa kuyafanya kama mwanaume hata kama mtoto wa mtu hakuwa na mpango wa kumuoa lakini kwenda kwenye media na kusema yale wakati yuko nyumbani na mwanao hule ni unyanyasaji na utoto wa hali ya juu! Uanaume ni zaidi ya kuwa na watoto lukuki..

kwenda kwenye media na kuongea mambo ambayo yalikuwa yana mkwanza mama watoto wako kwakweli haikuwa busara kabisa.
 
Kavurugwa huyu binti, hivi haoni kama anajishushia heshima yake, eti kwanza mtoto sio wako....nyambafff.... Inaonesha ni jinsi gani alivyokuwa malaya....

Mimi naweza kukuhakikishia mabinti wengi ni wavumilivu sana sema sisi wanaume huwa tuna matatizo sana! Huyu binti kaamua kuongea maana ameumia sana na ni kweli hata mimi nilishawai kumsikia Ney anaongea maneno kwenye media hadi nikashangaa wakati nyumbani alikuwa ana mtu amemzalia mtoto..

Ney alikuwa anaongea mambo ambayo yalikuwa yamashusha thamani huyu dada na utu wake yani alikuwa anaongea as if hajampa mimba mtu bali ni mbwa! Huyu jamaa kama avuti bangi basi dish limeanza kuyumba!
 
Inawezekana huyo binti kusema mtoto wa obasanjo ni namna ya kutafuta huruma kwa obansanjo maana kwa ney hakukaliki tena
 
Hili la kubambikiwa mtoto sijalipenda, ni kweli alianza vizuri then kanchafua, Wewe ni Malaya, ulimbambikia mtoto ili iweje? kwan yeye hawezi kuzaa? Au ulitega sehem2 kwa kumtumia mtoto?
 
RGforever tafadhali weka hii habari vyema ili isomeke vyema na ieleweke!

Duu huyu si wema kweli kaumizwa hadi anamwambia jamaa mtoto si wake duu this is very interesting! Katika hili naona kuna sehemu Ney alikosea na Kweli alikuwa hana ubinadamu na hana heshima kwa Mama watoto wake!

Kuna mambo alitakiwa kuyafanya kama mwanaume hata kama mtoto wa mtu hakuwa na mpango wa kumuoa lakini kwenda kwenye media na kusema yale wakati yuko nyumbani na mwanao hule ni unyanyasaji na utoto wa hali ya juu!

Uanaume ni zaidi ya kuwa na watoto lukuki..kwenda kwenye media na kuongea mambo ambayo yalikuwa yana mkwanza mama watoto wako kwakweli haikuwa busara kabisa.

Utamsamehe mtu aliyekubambikia mimba? Wacha utoto wewe, hii issue uombe isikukute
 
Back
Top Bottom