Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Utamsamehe mtu aliyekubambikia mimba? Wacha utoto wewe, hii issue uombe isikukute
Mkuu Kuna sehemu nimeongelea swala la kusameheana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamsamehe mtu aliyekubambikia mimba? Wacha utoto wewe, hii issue uombe isikukute
Huyo Ney akome
Kiki mavi zimemwaibisha
Kweli wanaume tumebaki wachache wavulana ndio wengi
Siwema ukome sana hao wasanii hawana maana
Maisha ya ma-celeb na watu wao huwa yananishangaza mno!
Malaya kama Mama yao? Realy? Nawewe umbea umerithi kwa nani? Tuwaheshimu wazazi tafadhali😡😡
Nilishawahi kusema huyu ni kicheche poozeo la wasanii wasilale wenyewe mwanza. .watu walikuwa wanajipigia one night stand ila kwakuwa ney ni pimbi akaamua ajiibe mazima. .tulikuwa tunamchora anavyojichoresha. ...enzi za BBM hata kama huna jina kibongobongo ukipewa pande na agent muaminifu ukiwa mwanza kulala alone upende mwenyewe
Hilo toto copy
Right ni Ney
Huyo mtoto wa neema cku zote mwenye uwezo ndio hupewa mtoto hata kma si wake,pia huyu mtoto ukicheki pua kma ney sema mdada kaamua kuropoka 2 atoe stress zake.ngoja wavuane nguo tufaudu
Kavurugwa huyu binti, hivi haoni kama anajishushia heshima yake, eti kwanza mtoto sio wako....nyambafff.... Inaonesha ni jinsi gani alivyokuwa malaya....
Siwema ukome sana hao wasanii hawana maana
Huyu demu ni Malaya..full stop...halaf zero brain
Kama alivyo Ney
Shost yamekukuta nini? mwenzio anapenda kick! anasema alikuwa kwa Ngwea kabla hajatua kwa nay... njoo huku nikuunganishe na PHD sura ya mauzo.
Huyu demu ni nani hapa downtown tupieni bas picha kama analipa mpeni ma email yangu watoto wazur kama hao wanateseka bhana
kwanini tanzania wasiweke sheria kama marekani Child Support
Halafu kesho utaona kadada kengine kanajigamba kupata 'mume' ambaye ana watoto watatu kwa wanawake watatu!
Duniani wapumbavu hawaishi.
Vv