New Season: Siwema amjibu Ney wa Mitego

New Season: Siwema amjibu Ney wa Mitego

wakuu mwenye mapicha ya huyo ni wema atupie hapa wengne hatumjui
 

Attachments

  • 1426934728307.jpg
    1426934728307.jpg
    25.4 KB · Views: 591
  • 1426934746634.jpg
    1426934746634.jpg
    20.3 KB · Views: 536
  • 1426934817082.jpg
    1426934817082.jpg
    31.3 KB · Views: 526
Nimechoka
sasa jamaa fujo zote alizofanya kuchukua mwanae leo anaambiwa wa Obasanjo.😅😅😅
Atamrudisha kimya kimya?
nacheka km mazuri vile

Mwenzangu mimi mwenyewe nachekaje? Kujishaua kote kumbeba mtoto then unaaambiwa sio wake, bonge la aibu na fedheha

Ila sidhani kuwa ni kweli, itakuwa hasira tu, maana mtoto kafanana sana na ney
 
Siwema ukome sana hao wasanii hawana maana

Huyo siwema hamnazo, si angetulia tu na obsanjo? Mtu kila kitu unapewa bado unahangaika na wavuta bhang, si mpaka pete alivalishwa na obasanjo? Hamuoni mwenzie k-lyn katulia anakula bata hana stress za vijana ndo akome
 
sijawahi kuona janamke jinga kama hili yaani unaongea kama vile innocent umeoneww na unataka huruma ya wwtu na still unasisitiza hujawqi kucheat na kufumaniwa but latter on unamalizia kua umembambikia mtoto ambae sio wwke lol omg what a https://jamii.app/JFUserGuide!!!

Mwanamke mjinga huaribu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Huyo siwema hamnazo, si angetulia tu na obsanjo? Mtu kila kitu unapewa bado unahangaika na wavuta bhang, si mpaka pete alivalishwa na obasanjo? Hamuoni mwenzie k-lyn katulia anakula bata hana stress za vijana ndo akome

Klyn anakula bata tuuu mpaka tumenyweaaaa kweli angebaki tu obasanjo anajilia tu mapesaaaa
 
Kweli kumbe ndege wanaofanana ndo huruka pamoja. Hawa wote hamnazo
 
Ila chombooo ingawa hawadhaminiki sijui wakoje watoto hawa!
 
Airtel kwan hawajaona hyo scandal ya ney? Wasitishe mkataba bwana then wamtoe kabisa kwenye mabango ya airtel, kwanza roho ilikuwa inaniuma kila sehemu ukienda unakutana na picha ya ney nfyuuu
 
Klyn anakula bata tuuu mpaka tumenyweaaaa kweli angebaki tu obasanjo anajilia tu mapesaaaa

Nipe namba nifaudu mie kwangu haina makombo cjui kamekulia uhuru,mkanyenye,igogo,usmau au bugarika mana vibinti vya huko ni hatari unaweza uza shamba ukiwa ----
 
Ukishaona Mwanaume kazaa wa Mwanamke wa kwanza , Pili , Tatu , tofauti tofauti unatakiwa uwe na sababu ya Msingi kumkubali kuwa naye wewe kama wa 4 , Hiyo ni dalili kubwa ya Mwanaume Gumegume

Wakati unaonyeshwa Nyumba ya Ney , mwenyewe unalia nilisema Nyasamaki mie hapo si kwako , ukajifanya na kulea mtoto wa mwenzio yako wapi ? ,,

hakunaga Mapenzi ya kwenye Mitandao Mitandao , kushikana shikana kupigana picha makalio kutwa , hakuna jamani huo ni Umalaya tu ,

Jipange Upya Bado Mdogo wewe , Na Unamvuto wa kike , Kila la Kheri
 
Kwanza hy Ney kwa vyvyt tu atajuta mn kwa maisha ya sasa hv kupata mwanamke wa kulea watoto wacyo wake ni kushukuru Mungu,na cdhani km atampata labda watalelewa na mama yake

Na hapo ndo kwny utofauti kati ya she na he,kwavyovyote vile ubaya wa Ney hautaonekana Cwema ndo ataitwa Malaya ila wanaume mmnapasw kujua kitendo cha kumzalisha mtu pacpokumuonyesha upendo inauma sn na inaweza kuathiriht makuzi ya mtoto nna uhakika ht kusema mtoto c wa Ney ni hacra tu ili na Ney aumie..so wana JF tujifunze
 

Attachments

  • 1426961726718.jpg
    1426961726718.jpg
    9 KB · Views: 638
  • 1426961749465.jpg
    1426961749465.jpg
    58.4 KB · Views: 416
  • 1426961776950.jpg
    1426961776950.jpg
    8.8 KB · Views: 630
  • 1426961787680.jpg
    1426961787680.jpg
    92.3 KB · Views: 380
Nipe namba nifaudu mie kwangu haina makombo cjui kamekulia uhuru,mkanyenye,igogo,usmau au bugarika mana vibinti vya huko ni hatari unaweza uza shamba ukiwa ----

Hata sina namba yake huyo mjanja na mie mshamba wapi na wapiii
 
Back
Top Bottom