New Season: Siwema amjibu Ney wa Mitego

New Season: Siwema amjibu Ney wa Mitego

Siwema ukome sana hao wasanii hawana maana

Tatizo la watu wengi wanachukulia usanii kuwa ni maisha halisi. Wasanii wengi wanaishi kisanii, kuanzia Marekani hadi South Afrika. Msichana anayejitambua hawezi kukubali kuolewa na msanii labda awe anafanyia usanii hayo mahusiano.

Vv
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja hawa wanajuana utaona siku chache wako tena pamoja wasiwaumize vichwa hata
 
Nilishawahi kusema huyu ni kicheche poozeo la wasanii wasilale wenyewe mwanza. .watu walikuwa wanajipigia one night stand ila kwakuwa ney ni pimbi akaamua ajiibe mazima. .tulikuwa tunamchora anavyojichoresha. ...enzi za BBM hata kama huna jina kibongobongo ukipewa pande na agent muaminifu ukiwa mwanza kulala alone upende mwenyewe

Kila ukija mwanza ulikua hulali peke yako!!!!
 
Capt Nemo sijui njoo umjibie bosi wako kashfa zinazomtafuna huku!
 
Wanajiita Maarufu mi naona Maharufu tu hapa. kulea mtoto tu mpaka ufikishwe serikali za mtaa? mwanaume gani uyo?
 
Huyo mtoto wa neema cku zote mwenye uwezo ndio hupewa mtoto hata kma si wake,pia huyu mtoto ukicheki pua kma ney sema mdada kaamua kuropoka 2 atoe stress zake.ngoja wavuane nguo tufaudu

sasa baba mwenyewe halei baba gani.
 
Siwema ukome sana hao wasanii hawana maana

Shost yamekukuta nini? mwenzio anapenda kick! anasema alikuwa kwa Ngwea kabla hajatua kwa nay... njoo huku nikuunganishe na PHD sura ya mauzo.
 
Huyu demu ni nani hapa downtown tupieni bas picha kama analipa mpeni ma email yangu watoto wazur kama hao wanateseka bhana

kwanini tanzania wasiweke sheria kama marekani Child Support

Kaka jambazi huu mfupa umemshinda fisi we utauweza kweli?
 
Halafu kesho utaona kadada kengine kanajigamba kupata 'mume' ambaye ana watoto watatu kwa wanawake watatu!
Duniani wapumbavu hawaishi.

Vv

hao watatu ndo tunawajua he hao wengine halafu unakuta mdada anasema nimepata bonge la bwana
 
Back
Top Bottom