PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Kwa mbali nasikia maadhi kama ile nyimbo ya davido inayoitwa Fall
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikweli,kwambalii sanaaKwa mbali nasikia maadhi kama ile nyimbo ya davido inayoitwa Fall
kweliii kbsaBoooooooooonge moja la wimbo,hili goma akilifanyia video itakuwa ni shigda mtaani. "Kumbukeni DIAMOND Youtube chanel yake iko na udhamini,kwahiyo HAJAWAHI KUPATA HASARA YA VIDEO ZAKE."
Domondi hana jipya tena, ameshafika mwisho. Sasa tumerudi kwa Saida Kalori
Kwa mbali nasikia maadhi kama ile nyimbo ya davido inayoitwa Fall
Zile mbili zimebuma kiaina so naoma kaamua kuja kwa ladha za kinejeria. Naona.kamwambia laizer abadili ladha ya biti maana wanaija wanatuzidigi biti tu but sio.mashairi
Ila huu kidogo nauona uko dope! Kuliko zile mbili.
HahahaTunasubiri watu wa dar waseme kama wakisema nzuri basi sisi wa mikoani tutakubali pia
Mbona umecheka mkuuHahaha
unawaamini sana watu wa Dar?Mbona umecheka mkuu
subiri media ziipige promo itakuwa nzuri tu... ndo mziki Wa siku hizi huoBora fire; hii chenga