New: Tanzania is the East Africa's most urbanised nation

Jambo la kufurahisha ni kwamba, sio tu tumewazidi kwa idadi kubwa ya Billionaire & Millionaire, Bali hata katika "weath distribution pia tumewazidi sana, Kumbuka Tanzania inaongezza Afrika katika " Economic inclusiveness index"
Tanzani Gini coefficient 40%
Kenya Gini Coefficient 42%
Hiyo ni dalili kwamba uchumi wa Tanzania unamilikiwa na kuwasaidia watanzania kuliko wa Kenya
 
Kwani hii gdp kazi yake c kununua vitu nje Au Ina kazi gani ?
 
As i said these wealth distribution metrics do not mean your GDP is bigger.. can we agree on that 1st?
 
Tanzania has one of most inclusive economies in Africa!

Nilifika SA nikashangaa watu wanaachana sana ktk sharing of national cake! Hata Kenya ukiwa maskini ni maskini kweli kweli! Sii Tz -Tz ni rahisi kutoka kimaisha kuliko Kenya
 
We ni fala Sana wa buku Saba, Singapore ni Nchi Ndogo kuliko Dark es Sluum.
Singapore - 725.1 km2
Population - 5.7 million

Dar es sluum - 1,393 km2
Population - 6 million
Matusi hayakusaidii kitu dogo,we umesema tanzania kuwa ni the most urbanised in east africa maana yake watu wanakusanyika dar es salaam,sasa nakuuliza swali huko singapore ambako ni 100% urbanised watu wanakusanyika wapi???..swali ni jepesi tu,nataka nikufundishe maana ya urbanised area in percentage maana yake nini...

Wala sikuongelea masuala ya area na population..
 
kalewa anaoverlap kauli zake mwenyewe,njaa plus kunusa gundi.
 
Urbanised meaning kila mtu Tanzania anakimbilia kuishi Dar es sluum.
The country of one City/Town.
Ungemaliza walau F4 ungekua na upeo wa kuchangia hii mada. ..ona madudu sasa unayotema[emoji23] [emoji23]
 
Nifunze Mkuu
 
There is nothing like 10× ,triple or whatever that you've mentioned, gdp per capital of ke is $1900 while of Tz is $1100 ,now do the math
 
There is nothing like 10× ,triple or whatever that you've mentioned, gdp per capital of ke is $1900 while of Tz is $1100 ,now do the math
Feelings peleka kwenyu! Facts do not lie. Tanzania is among the least developed countries in the world. In the same category as Niger, Zambia etc. Your infrastructure is dilapidated and absent in majority of the country. I have worked in Dar es salaam, what I saw was shunties and only arabs occupying the best shops. Almost all houses that africans lived in can be categorized as a slum in Kenya, similar thing I saw in zanzibar. Poverty beyong Imagination.
The city itself (Dar) is disorganized without any significant sprawling suburbs.
Try and lie to another person, I have lived and worked in your country, it is a huge mess. A cornucopia of disorganized buildings and citizens with low self esteem.
 
Don't forget that Tanzania has got three times $millionaires than Kenya.
 
There is nothing like 10× ,triple or whatever that you've mentioned, gdp per capital of ke is $1900 while of Tz is $1100 ,now do the math
Just know you are not in our league. We are in the same region but you are way below Kenya. Try fighting it out with Rwanda, Uganda and Burundi.
 
There is nothing like 10× ,triple or whatever that you've mentioned, gdp per capital of ke is $1900 while of Tz is $1100 ,now do the math
Also get your facts right next time GDP per capita of Kenya is $4,071 (PPP) and $2,151 (Nominal)
 
Just know you are not in our league. We are in the same region but you are way below Kenya. Try fighting it out with Rwanda, Uganda and Burundi.
Wewe unaongea vitu gani? Unajivunia nn Uganda Rwanda na Burundi wako nyuma ndio lakini kuna vitu wanawazidi pia, ukadhan kujua kingereza ndio kua vizuri

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…