Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Hata hiyo ya risiti bado mlikuwa/ ni wasumbufu.Shida sio kulipa. Hupewi risiti halafu unakuta unadaiwa. Mbona mwanzoni tulikuwa tunalipa. Sasa hivi nini kinaendelea?
Mfano sasa hivi 12:20pm nimetoka kumdai dereva hela, anaanza kumwambia abiria alipe. Abiria anamwambia ni jukumu la dereva. Dereva anadai hana hela. NB: Mimi nipo Mamlaka nyingine siyo TARURA.