Hata hiyo ya risiti bado mlikuwa/ ni wasumbufu.Shida sio kulipa. Hupewi risiti halafu unakuta unadaiwa. Mbona mwanzoni tulikuwa tunalipa. Sasa hivi nini kinaendelea?
Ndio shida ya washamba kuhamia mjini. Really? Unafikiria kila mtu ana dhiki zako? We are talking issues here and you are bringing your insecurities!Hata hiyo ya risiti bado mlikuwa/ ni wasumbufu.
Mfano sasa hivi 12:20pm nimetoka kumdai dereva hela, anaanza kumwambia abiria alipe. Abiria anamwambia ni jukumu la dereva. Dereva anadai hana hela. NB: Mimi nipo Mamlaka nyingine siyo TARURA.
You are a vivid example of drivers I am talking about.Ndio shida ya washamba kuhamia mjini. Really? Unafikiria kila mtu ana dhiki zako? We are talking issues here and you are bringing your insecurities!
Wewe ni nani kuja na geeralization kuwa watu wote hawataki kulipa parking? Nani amekupa hizompowers? Kama sio ushamba ni nini?You are a vivid example of drivers I am talking about.
Hapa ninaongelea mada ya TARURA payment system, ila unanitukana. Sasa sipati picha ingekuwa ndiyo umeulizwa hela ya parking; si ungetoa bastola?😀
TRA wapeni elimu Tarura, sifa moja ya Kodi, Tozo ni fairness, halisia na stahiki.
Wakishtakiwa mara nyingi nadhani watachukua hatua kuondokana na hayo malalamiko.mjifunze kufungua makesi na kudai fidia hasa pale unapokuwa na ushahidi wa kutosha...
Halafu ni elimu gani mnataka pale mdaiwapo parking fees? Hili nimelikuta mara nyingi sana. Dereva anadaiwa parking fee anajibu embu nieleweshe/nipe elimu. Haya, akishapewa elimu anaanza kutoa excuse ili tu asilipe. Sasa hapa TARURA wanawaagiza mkalipe kwa control number. Sasa elimu gani tena hapa? Kwamba hujui benki? Yaani kama uambiwe 'hii dawa pima kijiko kimoja' halafu unaanza kutaka elimu ya namna ya kukishika kijiko.Wewe ni nani kuja na geeralization kuwa watu wote hawataki kulipa parking? Nani amekupa hizompowers? Kama sio ushamba ni nini?
Mfumo uboreshwe watu walipe kwa uhakika na kwa haki. Ilivyo sasa haieleweki na hakuna elimu iliyotolewa. Shida yetu watanzania tunadharau sana elimu. Ila tunaheshimu sana vyeti. Na ndio maana kuna watu wana vyeti ila hawajaelimika. Naogopa kusema sana kama na wewe uko kundi lipi.
Ni hivi, kuna kila sababu ya kuweka mambo sawa kwenye haya malipo.....
"mtanikumbuka " tena ni kwa mema wala si mabaya. JPM
Nenda shule ukadai pesa yako ya Ada,inaelekea shuleni hujafundishwa chochote wamekuibia,watu Wana complain wizi unaofanyika na si KULIPA,sisi dawasco tu walishawahi kutuletea bili ambayo si yetu,na tulishinda,kupitia watu wajinga Kama wewe wasiopenda kuishughurisha akili vilivyo ndo mnatuletea shida katika nchi hii,na mbaya zaidi utakuta umeshatuzalia watoto wa aina yako tayari,kwa hiyo tuna kazi kubwaHalafu ni elimu gani mnataka pale mdaiwapo parking fees? Hili nimelikuta mara nyingi sana. Dereva anadaiwa parking fee anajibu embu nieleweshe/nipe elimu. Haya, akishapewa elimu anaanza kutoa excuse ili tu asilipe. Sasa hapa TARURA wanawaagiza mkalipe kwa control number. Sasa elimu gani tena hapa? Kwamba hujui benki? Yaani kama uambiwe 'hii dawa pima kijiko kimoja' halafu unaanza kutaka elimu ya namna ya kukishika kijiko.
Uko nje ya madaHalafu ni elimu gani mnataka pale mdaiwapo parking fees? Hili nimelikuta mara nyingi sana. Dereva anadaiwa parking fee anajibu embu nieleweshe/nipe elimu. Haya, akishapewa elimu anaanza kutoa excuse ili tu asilipe. Sasa hapa TARURA wanawaagiza mkalipe kwa control number. Sasa elimu gani tena hapa? Kwamba hujui benki? Yaani kama uambiwe 'hii dawa pima kijiko kimoja' halafu unaanza kutaka elimu ya namna ya kukishika kijiko.
Mada ni kutoza hela nyingi zaidi ya muda wa parking.Hata hiyo ya risiti bado mlikuwa/ ni wasumbufu.
Mfano sasa hivi 12:20pm nimetoka kumdai dereva hela, anaanza kumwambia abiria alipe. Abiria anamwambia ni jukumu la dereva. Dereva anadai hana hela. NB: Mimi nipo Mamlaka nyingine siyo TARURA.
Hapana. Amesema anataka elimuUko nje ya mada
Wajuaji tu. Parking fee jambo la compliance na halihitaji ujuaji. Umeambiwa kalipie nenda. Kama una dukuduku nenda ofisi husika. Kama hufanyi hayo na bado unalalamika na kutukana inakuwa siyo.Nenda shule ukadai pesa yako ya Ada,inaelekea shuleni hujafundishwa chochote wamekuibia,watu Wana complain wizi unaofanyika na si KULIPA,sisi dawasco tu walishawahi kutuletea bili ambayo si yetu,na tulishinda,kupitia watu wajinga Kama wewe wasiopenda kuishughurisha akili vilivyo ndo mnatuletea shida katika nchi hii,na mbaya zaidi utakuta umeshatuzalia watoto wa aina yako tayari,kwa hiyo tuna kazi kubwa
mkuu we kichwa kigumu sn aisee hakuna mtu anayepinga hio fee watu wanaongelea madeni wanaongelea madeni wanayoyaona kwe system wakati magari yao yako home, deni kubwa kuliko uhalisia, control number kugoma hivyo kushndwa kulipa kwa mda sahihi mpk deni kuongezeka na lingine mbn concerns zao zipo clear tu mzee?mtu kukataa kulipa ushuru wa maegesho ni issue nyingne kabisa haihusiani na hii mada acha kuvuruga watuHalafu ni elimu gani mnataka pale mdaiwapo parking fees? Hili nimelikuta mara nyingi sana. Dereva anadaiwa parking fee anajibu embu nieleweshe/nipe elimu. Haya, akishapewa elimu anaanza kutoa excuse ili tu asilipe. Sasa hapa TARURA wanawaagiza mkalipe kwa control number. Sasa elimu gani tena hapa? Kwamba hujui benki? Yaani kama uambiwe 'hii dawa pima kijiko kimoja' halafu unaanza kutaka elimu ya namna ya kukishika kijiko.