Tetesi: New Tiger hotel Africana yauzwa kwa billionea mama wa kihaya, ni mmiliki wa shule Jirani, alipa Fedha taslimu bilioni moja

I can guess and yet remain certain that "Mama wa tuela twa mboga" is the one you're talking. She fits so well in your description.
 
Mkuu wewe ndiye mnunuzu nin?
 
Umezisahau billion 7 za kigogo wa TRA,

Mzee huu mji watu wana stocks za hela sometimes zaidi hata ya baadhi ya matawi ya banks
 
Yasemekana mnunuzi ni mmiliki wa shule ya st Joseph iliyopo nyuma tu ya motel hiyo na amerithi shule hiyo kwa Marehemu mumewe
 
Lugha tu hiyo, kamaanisha hazina deni.
 
No shule ya jirani sio Babro Johnson,
P
Hilo eneo inasemekana kanunua
Mama wa kihaya mwenye shule ya st joseph
Ila kwa b1 nawashangaa sana
Maana kuna jamaa yangu mmja ana kampuni ya contruction anaitwa Tom namis ana yuko vzr sana alishawapa offer ya juu zaidi ya hyo wakat fulani ila wao wakakata....hyo jamaa pesa ipo na na yuko vzr
Sema mjane na watoto wake wana wenge nqchojuwa tu wana njaa sahv
Watoto wa kimambi wale wkn ANL
wana njaa hatari kwqnza kabla waahauza mali nyingi za mzee na hawajafanya jambo lolote

Ova
 
Nilibahatika kufika kijijini kwao huyu mwamba miaka ya karibuni huko Kahe,Moshi, nyumba zake pia zimechoka, yaani ukisikia mali kumfuata mwenyewe ndiyo hii. But he was a good guy in his life time kusaidia huko kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…