Jina ni Tiger Motel, zamani Triz Motel na sio Tiger Hotel.
Baada ya mmiliki kufa kwa kujiua, watoto wakashindwa ku pa run, most of the times rooms ni empty, na ukiongea tuu na mlinzi, unapewa room hata kwa 10,000 tuu!, kujipumzisha!.
Kama ni kweli imeuzwa kwa 1 B, mnunuzi ni amenunua kwa bei chee karibu na bure, ni kama ameokota!. Ila 1 B cash...!, I doubt!.
Fedha za Tanzania zinafungwa kwenye denominations ya milioni 1, kila bundle ni milioni 10, hivyo 1.B cash ni bandali 100 za milioni kumi kumi!, why ziwe cash?!.
P