Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna anawakilisha wanaume wa dizine kama yake kwani hawapo?Huyo Nuh naye anaaibisha wanaume sasa...
Unafiki unafiki kiwango cha mwendo kasiVideo nzuri kibongobongo, Kiba kafunikwa kasambaratishwa kabisa. Yaani kapotezwa ile mbaya huwezi jua ni star namba 2 nchini.
Siku nyingine asikubali collabo ambazo ataimba kajimstari itammaliza.
Dogo amejitahidi sana. Ukisikiliza ala zilizotumika utafurahi sana. Kila chombo kimesikika huku zikinaksishwa na mirindo saafi ya sauti. Huu ubunifu ni mzuri sana hasa picha hazina ukakasi wowote. Hongera sana!Bonge moja ya kideo, yaan nme mkubali dogo
Alafu na kiba alisimama vyema
Teh teh ila huyo shishi mwenyewe katisha
HahahaaDogo amejitahidi sana. Ukisikiliza ala zilizotumika utafurahi sana. Kila chombo kimesikika huku zikinaksishwa na mirindo saafi ya sauti. Huu ubunifu ni mzuri sana hasa picha hazina ukakasi wowote. Hongera sana!
Hahahahahahahaha[emoji23] u made my nytNaye kiba yoo yooo yooo zimezd sasa.. nazipenda but to much
Hahhaha hamna mkuu[emoji38]Haaaaa
Uwiiii
Unamteta shishi!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahhaha hamna mkuu[emoji38]