New video jikeshupa Nuh Mziwanda (shilole ndani)

New video jikeshupa Nuh Mziwanda (shilole ndani)

Haa huyu video queen kavaa uhusika wa Shishi baby kabisaa kweli Nuhu hana vyeti vya kupenda dadazake
 
Video nzuri kibongobongo, Kiba kafunikwa kasambaratishwa kabisa. Yaani kapotezwa ile mbaya huwezi jua ni star namba 2 nchini.

Siku nyingine asikubali collabo ambazo ataimba kajimstari itammaliza.
 
Video nzuri kibongobongo, Kiba kafunikwa kasambaratishwa kabisa. Yaani kapotezwa ile mbaya huwezi jua ni star namba 2 nchini.

Siku nyingine asikubali collabo ambazo ataimba kajimstari itammaliza.
Unafiki unafiki kiwango cha mwendo kasi
 
Bonge moja ya kideo, yaan nme mkubali dogo

Alafu na kiba alisimama vyema

Teh teh ila huyo shishi mwenyewe katisha
Dogo amejitahidi sana. Ukisikiliza ala zilizotumika utafurahi sana. Kila chombo kimesikika huku zikinaksishwa na mirindo saafi ya sauti. Huu ubunifu ni mzuri sana hasa picha hazina ukakasi wowote. Hongera sana!
 
Hahahaa

Toka aachwe kajua kuutafuta ugali mwenyewe sasa
 
Hawa wasanii wa wapi mbona kama.wanakua wageni na shooting kama wanaipatiliza fulan hv
 
Wabongoo tuachee Unafiki..eti video mbayaa Mimi Team Diamond but kwa huu wimvi Kiba na Shem zilipendwaa Wamefanya poaa Jane Lowassa umezidiiii we kila kitu unapoonda..una Stress za kuachikaa nini???
 
Back
Top Bottom