George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Na hiyo ndiyo TOFAUTI kati ya Wazimbabwe na Watanzania..!kali sana,nimechek comments youtube wazimbabwe wamefurahia sana this joint and they are so prou of fheir guy they support him so much,they said we didnt know that our languange shona sound so sexy when diamond sing it
sure bro,sisi ni wazee wa kudiscourage wasanii wetu,wameonesha umoja sana sijaona comment hasi ya kumkatisha mtu wao tamaaNa hiyo ndiyo TOFAUTI kati ya Wazimbabwe na Watanzania..!
Watanzania ilibidi tuwe na SAYARI yetu wenyewe mkuu...sure bro,sisi ni wazee wa kudiscourage wasanii wetu,wameonesha umoja sana sijaona comment hasi ya kumkatisha mtu wao tamaa
Hebu ona miziki ya huyu jamaa kabla hajafanya collabo na chibb, kwa kweli Dangote kamtoa sana huyu jamaa
Hii ngoma ina faida kubwa sana kwa hawa jamaa wote wawili...NGOMA NZURI KINOMA.
Ni kweli mkuu ndio sababu ya DIAMOND kukubali hiyo.Hii ngoma ina faida kubwa sana kwa hawa jamaa wote wawili...
Diamond anaendelea kuongeza idadi ya MASHABIKI Afrika...
Huyu Mzimbabwe hii ngoma itamfanya afahamike zaidi na kuongeza idadi ya WAFUASI kwa social media..!