New video: Mzimbabwe Ft Diamond

New video: Mzimbabwe Ft Diamond

kali sana,nimechek comments youtube wazimbabwe wamefurahia sana this joint and they are so prou of fheir guy they support him so much,they said we didnt know that our languange shona sound so sexy when diamond sing it
Na hiyo ndiyo TOFAUTI kati ya Wazimbabwe na Watanzania..!
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
laizer producer wa wbc anahitaji kuongeza uzito wa mdundo... beat zake nyepesi sana.. after all hongera zako diamond japo jamaa uliefanya nae ngoma hajui kuimba..
 
Daaah baba tiffa ni nomaa watu wakiacha kuvimba vichwa na kulewa sifa wapige kazi bongo flava ingekua moto wa kuotea mbalii
 
NGOMA NZURI KINOMA.
Hii ngoma ina faida kubwa sana kwa hawa jamaa wote wawili...
Diamond anaendelea kuongeza idadi ya MASHABIKI Afrika...
Huyu Mzimbabwe hii ngoma itamfanya afahamike zaidi na kuongeza idadi ya WAFUASI kwa social media..!
 
Ni kweli mkuu ndio sababu ya DIAMOND kukubali hiyo.
 
Back
Top Bottom