#COVID19 New World Order: My COVID-19 Passport

Halafu mijitu mishabiki ya mwenda zake iliyokuwa inapiga kelele eti "hatutaki chanjo" iko humuhumu nchini. Na hao kusafiri sana ni kama yuko Dodoma akienda Morogoro anajitapa nilienda safari.
Sasa jibu wanalo, na hii kamati ya COVID 19 Imemvua nguo marehemu
 
Hapo nimeona Exp sa najiuliza kwaiyo mwezi wa 10 itabidi uchanjwe tena au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hachanjwi mtu hapa ,hatutaki tuwe mazezeta na kuwa sawa na wale simba walivishwa kola za chip kwa ajili ya kuwafuatilia popote pale walipo, nadhani tumekuwa wepesi sana kusaha haya mambo ya chanjo,kwenye miaka ya mwanzoni mwa chanjo kulikuwa na chanjo kwa wanawake,wengi wa waliochanjwa ni tasa hadi kesho, na kama kusafiri si lazima tusafiri Bongo ni peponi mkuu. Hata huu ushawishi wa hizi kamati tulijua matokeo yake ,mkitaka kuchanjwa endeleeni kuchanjwa tu,matokeo yake mtayaona. Yaani mtu na akili zako unafurahia cheti cha chanjo eti bure kabisa na ndio pasipoti ,hiyo ni pasipoti ya ama kutawaliwa na mabeberu au kuwa zezeta.
 
kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Wala hajui ni ya nini na huku anahimiza watu wadungwe, wacha wadungwe wabaki mazezeta.
 
Ongea na baba yako atakuambia zamani walikua wanapewa certificate za kuonyesha magonjwa waliyopigwa, unajua Kuna mda mwingine najiulizaga mbona una upeo mdogo hivi, yaani umetuletea conspiracy theory kabisa

Mfano sahivi ili usafiri unatakiwa uwe na passport Tena yenye taarifa zako mbona hili uliongelei, kwanin hiyo new world order wangaike na corona nawakati wanaweza tumia passport za watu
 
Mmmh! Umeiona wapi hiyo habari juu ya EU na UK? Siyo kweli! Unatakiwa upime uwe na negative results na kama unatokea kwenye nchi zilizoko kwenye Red list, inabidi ukae quarantine kwa siku kumi kwenye hoteli na uwe umelipia hiyo gharama ya £1750.
 
🤣🤣
 
Kwa kweli sijui hiyo exp. date ni ya nini.

Nahisi itakuwa ni ya dawa, endapo labda utakuwa umemiss second dose na hivyo kulazimika kuanza upya kuchanjwa, kwa zile chanjo zenye sindano mbili.

Huo ni usadiki wangu tu…sina hakika.
shukran
 
Mmmh! Umeiona wapi hiyo habari juu ya EU na UK? Siyo kweli! Unatakiwa upime uwe na negative results na kama unatokea kwenye nchi zilizoko kwenye Red list, inabidi ukae quarantine kwa siku kumi kwenye hoteli na uwe umelipia hiyo gharama ya £1750.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…