Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Oh okMkuu, kwani tangia lini mgonjwa akachanjwa? Chanjo siku zote ni kwa walio wazima ili wasije kuwa wagonjwa.
Mgonjwa yake ni tiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh okMkuu, kwani tangia lini mgonjwa akachanjwa? Chanjo siku zote ni kwa walio wazima ili wasije kuwa wagonjwa.
Mgonjwa yake ni tiba.
Weweeee hakika ulikuwa na mwendazake!!Rudi nyumbani Nyani Ngabu.
Nyumbani kumenoga!
😂😂😂CORONA ni futa - Jiwe 2020
Siku nyingine mfuate mtu PM kwa seriously personal issues kama za kuomba msaada wa pesa.Jamaa yangu nyani nakukubali Sana mwamba sema Nini Kama Kuna uwezekano naomba unisaidie pesa kidogo bongo pagumu najua huwez kufeli fanya muamala Kaka serious asee Nina shida kidogo hata dollar tano au kumi
One loveOh ok
Hapo nimeona Exp sa najiuliza kwaiyo mwezi wa 10 itabidi uchanjwe tena au?View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Mkuu hachanjwi mtu hapa ,hatutaki tuwe mazezeta na kuwa sawa na wale simba walivishwa kola za chip kwa ajili ya kuwafuatilia popote pale walipo, nadhani tumekuwa wepesi sana kusaha haya mambo ya chanjo,kwenye miaka ya mwanzoni mwa chanjo kulikuwa na chanjo kwa wanawake,wengi wa waliochanjwa ni tasa hadi kesho, na kama kusafiri si lazima tusafiri Bongo ni peponi mkuu. Hata huu ushawishi wa hizi kamati tulijua matokeo yake ,mkitaka kuchanjwa endeleeni kuchanjwa tu,matokeo yake mtayaona. Yaani mtu na akili zako unafurahia cheti cha chanjo eti bure kabisa na ndio pasipoti ,hiyo ni pasipoti ya ama kutawaliwa na mabeberu au kuwa zezeta.View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Wala hajui ni ya nini na huku anahimiza watu wadungwe, wacha wadungwe wabaki mazezeta.kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Ongea na baba yako atakuambia zamani walikua wanapewa certificate za kuonyesha magonjwa waliyopigwa, unajua Kuna mda mwingine najiulizaga mbona una upeo mdogo hivi, yaani umetuletea conspiracy theory kabisaView attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Mmmh! Umeiona wapi hiyo habari juu ya EU na UK? Siyo kweli! Unatakiwa upime uwe na negative results na kama unatokea kwenye nchi zilizoko kwenye Red list, inabidi ukae quarantine kwa siku kumi kwenye hoteli na uwe umelipia hiyo gharama ya £1750.EU na UK wameshasema kwamba wageni ili kuingia katika nchi zao ni lazima wawe na proof ya kupata chanjo ya COVID, sijui kama utaratibu huu umeshaanza rasmi au la, nadhani UAE nao ambao wanapata watalii wengi kwa mwaka nao wako mbioni kuweka taratibu hii. Wachina wametuletea balaa kubwa duniani halafu hadi hii leo bado wanaficha walichokifanya hadi kuibuka na COVID-19.
🤣🤣Ongea na baba yako atakuambia zamani walikua wanapewa certificate za kuonyesha magonjwa waliyopigwa, unajua Kuna mda mwingine najiulizaga mbona una upeo mdogo hivi, yaani umetuletea conspiracy theory kabisa
Mfano sahivi ili usafiri unatakiwa uwe na passport Tena yenye taarifa zako mbona hili uliongelei, kwanin hiyo new world order wangaike na corona nawakati wanaweza tumia passport za watu
shukranKwa kweli sijui hiyo exp. date ni ya nini.
Nahisi itakuwa ni ya dawa, endapo labda utakuwa umemiss second dose na hivyo kulazimika kuanza upya kuchanjwa, kwa zile chanjo zenye sindano mbili.
Huo ni usadiki wangu tu…sina hakika.
Mshamba huyo msukuma pamoja na kwamba anaishi mtoniMkuu, kwani tangia lini mgonjwa akachanjwa? Chanjo siku zote ni kwa walio wazima ili wasije kuwa wagonjwa.
Mgonjwa yake ni tiba.
Mmmh! Umeiona wapi hiyo habari juu ya EU na UK? Siyo kweli! Unatakiwa upime uwe na negative results na kama unatokea kwenye nchi zilizoko kwenye Red list, inabidi ukae quarantine kwa siku kumi kwenye hoteli na uwe umelipia hiyo gharama ya £1750.
Okay, kumbe jamaa ni wa kanda ya ziwa? Nakumbuka sana ile mada yake ya "Fixed?"Mshamba huyo msukuma pamoja na kwamba anaishi mtoni