Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kanda ya ziwa wanajificha basi. Utawajua tu kwa ushamba waoOkay, kumbe jamaa ni wa kanda ya ziwa? Nakumbuka sana ile mada yake ya "Fixed?"
View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Hapana aisee 😁Duh kwahiyo baada ya tarehe 24.10.2021 unadungwa tena?
Kama bado unaamini gonjwa limetokea China, nikupee pole sanaEU na UK wameshasema kwamba wageni ili kuingia katika nchi zao ni lazima wawe na proof ya kupata chanjo ya COVID, sijui kama utaratibu huu umeshaanza rasmi au la, nadhani UAE nao ambao wanapata watalii wengi kwa mwaka nao wako mbioni kuweka taratibu hii. Wachina wametuletea balaa kubwa duniani halafu hadi hii leo bado wanaficha walichokifanya hadi kuibuka na COVID-19.
Hayo bado ni maoni tu. Lakini mpaka dakika hii kama una visa, ingia tu UK na EU bila chanjo ilimradi vipimo vya corona vionyeshe negative na ulipie quarantine ya hotelini.
Tatizo unatumia chanzo cha habari cha uchochoroni. Hebu ingia kwenye websites za UK government and EU upate habari za uhakika... Hizo zingine bado ni porojo tu za watu binafsi wanaoziendesha hizo personal /private websites and blogs![]()
Covid passports: How do they work around the world?
How are countries enforcing vaccine passports and what can people use them for?www.bbc.com
Chanjo ina expire date? Hivyo aliechanjwa atapaswa kurudia tena baada ya muda fulani?View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Hata sijui.Chanjo ina expire date? Hivyo aliechanjwa atapaswa kurudia tena baada ya muda fulani?
Kwanini umeamua kuwa mhamasishaji juu ya upataji wa chanjo wakati huna uelewa mpana katika suala hili?Hata sijui.
Ni kwa sababu huwa ninasafiri sana.Kwanini umeamua kuwa mhamasishaji juu ya upataji wa chanjo wakati huna uelewa mpana katika suala hili?
View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
I ain’t worried about anything!Ngabu, ebu tupatie ufafanuzi wa kina - mwenzetu umechanjwa chanjo zinazo zakishwa kwa teknilojia ya asili au umedungwa chanjo zinazo zalishwa kwa teknolojia ya kijinetiki ie mRNA manipulated vaccines, ambazo hata wataalamu wa nyaja za molecular Biology na immunology wanazitiliai mashaka sana - uwezi kuona madhala yake hivi sasa, lakini tinkering around na masuala ya kijinetiki inaweza ku-prime kinga ya mwili ku-react vibaya sana siku za usoni kwa vitu vya kawaida tu kama vumbi, pollen grains, peanut butter, manukato, madawa nk - kumbuka hii ni mara ya kwanza chanjo kuzalishwa kwa kutumia mbinu za kuchezea vinasaba na kibaya zaidi hazikufanyiwa najaribio ya muda mrefu Dunia ikajiridhisha kwamba hazina madhara in short and long term usage - baadae watu watu wataanza kufa kimaajabu na hakuna mtu atakumbuka kwamba chanzo cha vifo vya ghafla vinatokana na chanjo za mRNA watu walizo chanjwa miaka ya nyuma.
Kwa nini WHO, Big Pharma Companies za mataifa ya magharibi yanayo kuwa funded kwa kiasi kikubwa na mfuko wa Bill Gates na mkewe wakishirikiana na World Bank wame gang up kulazimisha Dunia idungwe chanjo za mRNA zenye utata,wanatumia World Bank kulazimisha third World kichukuwa mkopo wa kununulia chanjo zao wabebeshwe nchi masikini mzigo wa madeni ambayo eayalazimika kuyalipa miaka nenda rudi.
Nataka nieleweke hapa,sio kwamba napinga zoezi la Watanzania kudungwa chanjo, nisicho kubaliana nacho ni hizi chanjo za kijinetiki ambazo zinaweza kusababisha makandokando mengi kwa watumiaji - Serikali iruhusu tu chanjo zinazo zalishwa kwa njia ya kiasili inayo tumika kwa zaidi ya miaka sabini kuzalisha chanjo za Polio, Ndui, lubella, TB nk. Bottom line is: zalisheni chanjo za COVID-19 kwa kutumia njia ya asili (attenuated viruses) hii ndio njia ambayo imetumiwa miaka nenda rudi bila ya kuleta madhara,kwa bahati nzuri mataifa ya Uchina, Urusi,Cuba zinazalisha chanjo za COVID-19 kwa kutumia njia ya asili, binafsi napendekeza kwa Serikali yetu tukufu kwamba kama Taifa letu litahamua kuchanja wananchi basi kwa usalama wa Wayanzania wote chanjo zinunuliwe kutoka aidha Uchina au Urusi au Cuba - my opinion.
Narudia kukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba chanjo zenye vinasaba vya mRNA hazifai hata kidogo, Serikali yetu hisikubali kuingizwa kwenye mtego wa panya wa Makampuni ya Oxford-AstraZeneca stuff.
Tatizo unatumia chanzo cha habari cha uchochoroni. Hebu ingia kwenye websites za UK government and EU upate habari za uhakika... Hizo zingine bado ni porojo tu za watu binafsi wanaoziendesha hizo personal /private websites and blogs
Mbona internet unatumia!Mimi tangu zamani situmii kitu chochote cha mzungu maana wanayo nia mbaya...
Tupende vya kwetu ...ata wanatumia ARV au mipira ya tendo waache kabisa kutumia za nje