Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Unayemnanga aliagiza Wizara ya Afya kujiridhisha kwanza kabla ya kupokea chanjo na dawa zozote kutoka ndani na nje ya nchi. Rais aliyeko madarakani ameongeza kwa kuteua rasmi Kamati ya kufanya uhakiki wa hiyo chanjo.Halafu mijitu mishabiki ya mwenda zake iliyokuwa inapiga kelele eti "hatutaki chanjo" iko humuhumu nchini. Na hao kusafiri sana ni kama yuko Dodoma akienda Morogoro anajitapa nilienda safari.
Sasa jibu wanalo, na hii kamati ya COVID 19 Imemvua nguo marehemu
Duuuh asa Ungenielewesha Tu Mkuu na Sio Kuniita Mpuuzi.
Rejea website uliyotuma tofauti na bbc... Makala ya bbc inakoleza mjadala tu. Lakini hata bbc hawawezi kuwa taarifa za uhakika kwasababu ni third source of information tofauti na websites za serikali ya Uingereza pamoja na ile ya jumuiya ya Ulaya, ambao ndo primary source of information.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848] ati umechanja. Ya kuambiwa ....Hapana aisee [emoji16]
I’m needle averse!
Mabeberu wametukalia kooni.
Hatupumui.
Jesus!!! Umechanja??? Kama umechanja then repeat after me the following words:View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Mkuu umemaliza kila kitu aisee mm na familia yangu hatutafanya ujinga huoMkuu hachanjwi mtu hapa ,hatutaki tuwe mazezeta na kuwa sawa na wale simba walivishwa kola za chip kwa ajili ya kuwafuatilia popote pale walipo, nadhani tumekuwa wepesi sana kusaha haya mambo ya chanjo,kwenye miaka ya mwanzoni mwa chanjo kulikuwa na chanjo kwa wanawake,wengi wa waliochanjwa ni tasa hadi kesho, na kama kusafiri si lazima tusafiri Bongo ni peponi mkuu. Hata huu ushawishi wa hizi kamati tulijua matokeo yake ,mkitaka kuchanjwa endeleeni kuchanjwa tu,matokeo yake mtayaona. Yaani mtu na akili zako unafurahia cheti cha chanjo eti bure kabisa na ndio pasipoti ,hiyo ni pasipoti ya ama kutawaliwa na mabeberu au kuwa zezeta.
They got you nigga, Bill Gates has successfully installed Windows 666 in your blood stream. Get ready for updates it'll be a bumpy ride. LOL 🤣View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Mkuu upo serious? Isije kuwa kweli halafu wana tunachukulia masihara ujue.Jamaa yangu nyani nakukubali Sana mwamba sema Nini Kama Kuna uwezekano naomba unisaidie pesa kidogo bongo pagumu najua huwez kufeli fanya muamala Kaka serious asee Nina shida kidogo hata dollar tano au kumi
Mimi nitachanja baada ya miaka mitano kupita. Niwe na uhakika ulaya na usa wote wamechanja na maambukizi hayawapati tena baada ya kuchanjwa. Lakini hii ya kuchanjwa na bado barakoa ipo pale pale. Acha mwili ujijengee kinga wenyewe.EU na UK wameshasema kwamba wageni ili kuingia katika nchi zao ni lazima wawe na proof ya kupata chanjo ya COVID, sijui kama utaratibu huu umeshaanza rasmi au la, nadhani UAE nao ambao wanapata watalii wengi kwa mwaka nao wako mbioni kuweka taratibu hii. Wachina wametuletea balaa kubwa duniani halafu hadi hii leo bado wanaficha walichokifanya hadi kuibuka na COVID-19.
Uchumi wetu unawategemea hivyo tuwe wapole tu.Mabeberu wametukalia kooni.
Hatupumui.
Damnit man! They got me lacking😁They got you nigga, Bill Gates has successfully installed Windows 666 in your blood stream. Get ready for updates it'll be a bumpy ride. LOL 🤣
Experimental vaccine?Ngabu, ebu tupatie ufafanuzi kwa kina - hivi mwenzetu umechanjwa chanjo zinazo zalishwa kwa teknilojia ya asili au umedungwa chanjo zinazo zalishwa kwa teknolojia ya kijinetiki ie mRNA manipulated vaccines, ambazo hata wataalamu wa nyaja za molecular Biology na immunology wanazitilia mashaka sana - uwezi kuona madhala yake hivi sasa, lakini tinkering around na masuala ya kijinetiki inaweza ku-prime kinga ya mwili ku-react vibaya sana siku za usoni kwa vitu ambavyo ni vya kawaida tu,mfano: vumbi, bedbugs, pollen grains, peanut butter, manukato, madawa nk - kumbuka hii ni mara ya kwanza chanjo kuzalishwa kwa kutumia mbinu za kuchezea vinasaba, na kibaya zaidi chanjo hizo hazikufanyiwa majaribio ya muda mrefu Dunia ikajiridhisha kwamba hazina madhara in short and long term usage,kudharau concerns/maoni ya wataalam wengi walio bobea katika nyanja/taaluma za kinga ya mwili wameonya mara nyingi kuhusu hatari zinazo weza kusababishwa na chanjo za mRNA lakini inaelekea WHO wamehamua kuweka pamba masikioni - sasa nini yatakuwa matokeo ya kudharau maoni ya wataalamu ambao wanajali UTU na hawana maslahi kwenye western Big Pharma Companies, wanasema watu wataanza kufa kimaajabu na hakuna mtu atakumbuka kwamba chanzo cha vifo vya ghafla vinatokana na chanjo za mRNA watu walizo chanjwa miaka ya nyuma.
Cha kujiuliza hapa ni: Kwa nini WHO, Big Pharma Companies za mataifa ya magharibi yanayo kuwa funded kwa kiasi kikubwa na mfuko wa Bill Gates na mkewe wakishirikiana na World Bank wame gang up kulazimisha Dunia idungwe chanjo za mRNA zenye utata,wanatumia World Bank kulazimisha third World kichukuwa mkopo wa kununulia chanjo zao, yaani wako radhi kubebesha nchi masikini mzigo wa madeni ambayo watalazimika kuyalipa miaka nenda rudi.
Nataka nieleweke hapa,sio kwamba napinga zoezi la Watanzania kudungwa chanjo, nisicho kubaliana nacho ni hizi chanjo za kijinetiki ambazo zinaweza kusababisha makandokando mengi kwa watumiaji - Serikali iruhusu tu chanjo zinazo zalishwa kwa njia ya kiasili inayo tumika kwa zaidi ya miaka sabini kuzalisha chanjo za Polio, Ndui, lubella, TB nk. Bottom line is: zalisheni chanjo za COVID-19 kwa kutumia njia ya asili (attenuated viruses) hii ndio njia ambayo imetumiwa miaka nenda rudi bila ya kuleta madhara yoyote,kwa bahati nzuri mataifa ya Uchina, Urusi,Cuba zinazalisha chanjo za COVID-19 kwa kutumia njia ya asili, binafsi napendekeza kwa Serikali yetu tukufu kwamba, kama Taifa letu litahamua kuchanja wananchi basi kwa usalama wa Watanzania wote chanjo zinunuliwe kutoka aidha Uchina au Urusi au Cuba - my opinion.
Narudia kukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba chanjo zenye vinasaba vya mRNA hazifai hata kidogo, Serikali yetu hisikubali kuingizwa kwenye mtego wa panya wa Makampuni ya Oxford-AstraZeneca stuff, Tanzanians matters.
Itakusaidia nn 20000Jamaa yangu nyani nakukubali Sana mwamba sema Nini Kama Kuna uwezekano naomba unisaidie pesa kidogo bongo pagumu najua huwez kufeli fanya muamala Kaka serious asee Nina shida kidogo hata dollar tano au kumi
Kwani tatizo lipo wapi kawe wa kwanza hapa Tanzania kuchanjwa mRNA vaccine - sisi wengine for some reasons we shall opt for chanjo za Kichina zilizo zalishwa kwa njia ya asili (attenuated covid viruses) - by the way Chanjo za kichina zimekwisha idhinishwa na WHO kutumika Duniani, hata hivyo kuna Mataifa yalisha anza kuzitumia chanjo za Kichina hata kabla ya kuidhinishwa na WHO, mfano: Misri na Mataifa ya Latin Amerika.Gwajifix kazilishe chanjo zako. Usipangie watu wanaoumiza vichwa vyao kuleta ahueni duniani wakati wewe unakula kondoo zako.
Utachanjwa kwa chanjo zilizopo sasa zilizoidhinishwa na WHO.
Mkuu Toka tumeanza kupokea chanjo toka tupate uhuru, kuna chanjo yoyote iliyokwisha tuletea matatizo?Kwani tatizo lipo wapi kawe wa kwanza hapa Tanzania kuchanjwa mRNA vaccine - sisi wengine for some reasons we shall opt for chanjo za Kichina zilizo zalishwa kwa njia ya asili (attenuated covid viruses) - by the way Chanjo za kichina zimekwisha idhinishwa na WHO kutumika Duniani, hata hivyo kuna Mataifa yalisha anza kuzitumia chanjo za Kichina hata kabla ya kuidhinishwa na WHO, mfano: Misri na Mataifa ya Latin Amerika.
Kwani tatizo lipo wapi kawe wa kwanza hapa Tanzania kuchanjwa mRNA vaccine - sisi wengine for some reasons we shall opt for chanjo za Kichina zilizo zalishwa kwa njia ya asili (attenuated covid viruses) - by the way Chanjo za kichina zimekwisha idhinishwa na WHO kutumika Duniani, hata hivyo kuna Mataifa yalisha anza kuzitumia chanjo za Kichina hata kabla ya kuidhinishwa na WHO, mfano: Misri na Mataifa ya Latin Amerika.
Wanao mbeza beza Askofu Gwajima hawajui walisemalo, kwao kila kitu ni siasa tu na kwa kuwa aliye toa tahadhali kuhusu chanjo za mRNA ni mswahili mwenzetu,basi wanamchukulia poa kabisa na dharau juu - kumbukeni majuto ni mjukuu.