New Year ndio nimeona faida ya kufahamiana na wahuni wa mtaani

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimecheka pole sanaa, kipindi hicho maisha club ndiyo club pendwa watu wengi walikua wanapapenda sana, kulikua na swimming pool penmbeni pale basi kinyamwezi sana, umenikumbusha mbali sana,

Dah ila pombe mbaya sana yani unaweza ukafanya jambo kwasababu ni pombe, kuna siku ingine ilitokea vurugu mule ndani nikajachukuliwa na mabaunsa nikawavimbia mabaunsa watu imeshiba kinoma lakini nilitaka nisimame nao mkono, wakanitupa kwenye ma vyungu nje kule, kuna wamasai walikua nje wakanisaidia kunipeleka kwenye tax maana nilikua hoi
 
Una bahati maana madisco ya chuga visu ni kawaida yani..Ungetiwa bero ya mbavu anytime. Chuga ndio sehemu pekee ambayo wahuni wakizingua nachill!

Mimi mwenyewe ni chalii ya R chuga wale watukutu wanaitwa Nyokaa!sema baada ya kukaa Dar kidogo wakaniona kama wa kinondoni [emoji28][emoji28]
 
Yaani Maisha ilikua maisha kweli. Kulikua na vurugu balaa. Basi seems huwa kuna watu wanachukuliwa kibabe kwa style jamaa alotaka nibebea. Hiyo siku haikua nzuri kwangu. Sitasahau. Madada poa ndo wanajichezesha pale njeeee
 
Yaani Maisha ilikua maisha kweli. Kulikua na vurugu balaa. Basi seems huwa kuna watu wanachukuliwa kibabe kwa style jamaa alotaka nibebea. Hiyo siku haikua nzuri kwangu. Sitasahau. Madada poa ndo wanajichezesha pale njeeee

Wale madada poa walikua wanajifanya classic sana yani kama wametoka mbele sigara za embassy wanavuta halafu walikua wanaingia masiha club bure mabaunsa pale mlangoni walikua wanawaingiza bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] kama bata enzi zile nimezila sana, nikikumbuka matukio, halafu maisha club nilikua nacheza mziki mpaka kunakaribia kukucha naenda kupanda basi namanga ostbey [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna huyo rafiki yangu kwao Mbagala. Kwenye pochi lake kuna high hill na simple anavaa. Kila.kitu anacho kwa poch lake. Jion huyoo anaenda viwanja. Anatinga hills zake[emoji23][emoji23] anatka ile saa 12 kasoro hv anaenda panda kitu cha mbagala rangi 3. Anakaa siti ya mwisho kabisa analala fofofo. Gari ikifika mwisho anageuka nalo sasa. Anaingia sijui mabafu ya mwenge pale stend enzi hizo anaoga halaf mishe mishe zinaendele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mkuu endelea kuwaungia wahuni mia mbili mia mbil unapokutana nao.

Wahun sio wakuwatenga..
 
Jitahidi uwe unashutua kidogo kidogo map shaup kidogo gonga gym la kishikaji ili upate stamina kiaina
 

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ahhhh nimecheka kinoma, dah wewe umenikumbusha matukio hayo hayo niliyopitia, kuna siku umenikumbusha nimetoka zangu kula mziki pale kona bar, kipindi hicho pia kona bar na ambiance sasa nimekula burudani weee enzi hizo nakaa sinza vatikank pale basi dah hahahhahahaha basi nimechukua Costa linaloenda gogolamboto linaanzia kona bar pale nimepanda hivi nimelala hahahahha nimestuka hivi nipo ilala hahaha ikabidi nishuke nitafute la kurudia asubuhiiii watu wanaenda kanisani jumapili hiyo niko na hangover kinoma noma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah stori ya rafiki yako imenikumbusha yangu kitambo sana hiyo,
 


Dah rafiki yako atakua alikua mla bata kinoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mna nini watu? Umenifurahisha sana. Yaan hayo mateso yoote hayo jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wee.. alikua anapenda bata balaa. Alivyo mwembamba sasa... halaf anapiga safari. Nammiss sana aisee. Itabidi nimchek. Me sikua mtu wa baaataa kwa kweli[emoji23]
Labda mziki nisikilizeeee. Billz ndo nimepaenjoy. Na wajinga walokua wanatuzingua ni hao maafwandweee hao wanaolinda linda majengo ya benk tukirudi zetu chuo. Wapuuz kweli majamaa. Yale mabunduki yao ndo walikua wanatishia tishia watu ovyo. Ila jamani mtu kunionea sipendi na uoga wote unaondokagaaa. Eti wewe hapo kuja hapa.. kwa command. Ikabidi niulize kama nimetaka kupora hela za bank[emoji23][emoji23] wale wengine nikawajaza hakuna kuogopa tukaze tukaze.. nikamwongezea wala sina hela wala akaunt hiyo benk bana hatuji huko[emoji119][emoji119] sisi nia na dhumuni letu ni kurudi chuo[emoji23][emoji119][emoji119] yaan nahisi labda kuna ambao hata waaonewa aisee hata kubakwa usikute
 
Broh ukiwa viwanja punguza kuvamia kuna watu wakishalewa wanawaza ugomvi tu

Jifunze ngumi hata kidogo mkuu unyonge mda mwingine utakutia aibu pia penda kutoka na company
 
Upo umuhimu wa kuwa na selfdefense, dunia nzito hii na wakat mwingine ni uwanja wa papa na chatu,wakati mwingine ni vzuri kuwa mtulivu tu usiparamie kila kitu...........uyo mbavu ingekuwa mahali Fulani na nyakati fulani kashavunjwa kiuno zamani tu...
 
Mara zote jitahidi epuka ugomvi ama vurugu kadiri uwezavyo na ikiwa utalazimishwa hakikisha mgomvi ikiwezekana akalazwe japo wiki,, muda ule wa kuepuka ugomvi ndo muda wapanga mashambulizi na kumsoma mpinzani mwache apige kelele akivuka mstari mfunze
Ushauri, mfano umemkwaa mtu kakuomba radhi, unaanza vimba. wamvunjia heshima, wajaribu hata mrudi, my friend wajifutia balaa unyenyekevu si uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…