New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake

Kila kitu kisiwe sasa wanawake wanawake jamani, watu wanataka maendeleo, regardless of gender. Very simple, watanzania tunataka maendeleo, haijalishi jinsia gani anaongoza.
maendeleo yanaanza nawewe, Sasa wewe kutwa upo bize kusimamia legasi ya dikteta asiharibiwe!!
 
Ni kikundi Cha watu wachache ndio wanalipwa kumtusi mama, ni sukuma gang, na wa upande wa dini fulani
 
Afadhali mara 1000 ya huyu tutamvumilia kuliko kutawaliwa na washamba.

Mimi nipo comfortable kabisa na mama.
Exactly,Bora mama kuliko kuongozwa na washamba na wenye uchizi, Nchi Sasa imetulia, vyombo vya habari na wanaharakati hawana hofu, wapuuzi Kama Musiba hawapo Tena,
 
Ni kikundi Cha watu wachache ndio wanalipwa kumtusi mama, ni sukuma gang, na wa upande wa dini fulani
Mzee wa upako ameshawaambia ni ngumu sana kuishinda serikali inayoongozwa na mtu mwenye haki na asiye dhalimu, Serikali ya dhalimu huwa inadondoshwa kirahisi sana, binadamu wakishindwa basi Mungu huwa anaingilia kati
 
Hi
Hivi jiwe allikua na akili ndogo kiasi gani?
 
Nakumbuka kabla hata hajaondoka ilitolewa taarifa kuwa SSH atahutubia hadhara kuu tarehe 23 Sept, 2021.Nadhani ni suala la muda na ratiba...Mkutano ukiisha hajaongea ndio unaweza kutoa tuhuma...Lakini sio kila mtu lazima aongee kikaoni hasa kama hauna issue specific...Wengine watabaki wasikilizaji nako ni kushiriki kikao.
 
Wastage of time! Aachane na wanawake, afuate sheria, aache kunyanyasa wapinzani, period!
Hawezi acha kunyanyasa wapinzani kwa sababu wapinzani wanataka kuchukua kitumbua chake, kwa hiyo lazima yeye na ccm yake wafanye hivyo maana ndio njia inayowafanya waendelee kuwepo madarakani.
 
Wajameni, haya sasa ndio mambo haya...
Kuna vitu watu tulisema, japo tulibezwa sasa vinatokea na vinajidhihirisha.
Hapa nilisema kitu kuhusu Tanzania ya Samia compared na Tanzania ile. Tunakwenda kuwa na Tanzania nzuri na Tanzania Njema kuliko Tanzania ile.
Hongera sana Mama Samia

P
 
Wanawake wanakosea sana kwenye suala la usawa wa kijinsia. Usawa wa kijinsia sio kuteua Waziri mwanamke wizara ya ulinzi ambayo Ina 98% ya wanajeshi wanaume. Usawa wa kijinsia uwe kwenye kupata elimu na kazi kwenye jamii. Yaani wanawake waonekane wengi kwenye kazi zote kama udereva, uvuvi, kilimo, jeshini, ufundi, ualimu, uhandisi, nk na sio kwenye kazi za ofisini TU kama inavyofanyika Sasa.

Wanawake wanahubiri usawa wa kijinsia bila kupenda kurekebisha sheria ya ndoa ili kufuta utegemezi wa mwanamke kwa mwanaume, mahari. Mpaka Leo wanaamini kuwa wanapewa mimba na wanaume badala ya kupata mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…