kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,647 Reaction score 9,604 Jan 20, 2021 #21 Wezi wa simu Temeke na Tandale mjifunze kurudisha taarifa kama picha video na document kwa mliowaibia
Wezi wa simu Temeke na Tandale mjifunze kurudisha taarifa kama picha video na document kwa mliowaibia
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Jan 20, 2021 #22 Uzuri wa kutokea familia ya wacha mungu, hata ukija kukengeuka bado unakuwa na utu kwa kiasi fulani