New York yamfungia aliyepambana na Mwakinyo

New York yamfungia aliyepambana na Mwakinyo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mtandao wa Ndoni wa Boxrec umebainisha kuwa mpiganaji kutoka Uingereza Liam Smith ambaye pambano lake la mwisho alipamabana na Bondia wa Tanzania, mwenye maskani yake nchini Marekani Hassan Mwakinyo, amefungiwa na Tume ya Michezo ya Jimbo la New York.

Sababu ya kuwekewa zuio hilo haijabainisha, lakini pia Mwakinyo amefungiwa kucheza Uingereza.
Screenshot 2022-09-18 at 15-31-21 BoxRec Liam Smith.png
 
Itakuwa walifix gemu

Maana sababu za mwakinyo nazo hazitoshelezi kabisa

Wenzetu wanajua wanachokifanya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Baada ya kutoka ktk pambano ndugu yetu aliendelea kuzunguka zunguka na vile viatu ambavyo yeye alisema vilikuwa zinamuumiza na vilivyomfanya aumie, kuna video nyingi ndugu yetu alikuwa nje anaburudika na ndugu zetu wengine nchini uingereza Kwa kupigwa mapicha ,sasa mguu ulikuwa umepona na Kama ni vile viatu Mbona alikuwa bado amevivaa wakati wa kuongea na baadhi ya waandishi wa habari ? Ni Kweli na yeye maneno yake hayajitoshelezi
 
Back
Top Bottom