The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Ndio kahamia US kitambo tu nadhani pia kapata uraia wa USA. Swali lingineMimi pia sijaelewa mwakinyo kahamia USA ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kahamia US kitambo tu nadhani pia kapata uraia wa USA. Swali lingineMimi pia sijaelewa mwakinyo kahamia USA ?
Basi Hapo sawa Kwa maana mimi siku zote jamaa akija uk najua ametokea tzNdio kahamia US kitambo tu nadhani pia kapata uraia wa USA. Swali lingine
Hapo sawa mkuuNdio kahamia US kitambo tu nadhani pia kapata uraia wa USA. Swali lingine
Unadhani Uraia wa USA unatolewa tu kama mlivyompa Uraia Kibu Denis?Ndio kahamia US kitambo tu nadhani pia kapata uraia wa USA. Swali lingine
Unadhani Uraia wa USA unatolewa tu kama mlivyompa Uraia Kibu Denis?
Uk ya mbagala auBasi Hapo sawa Kwa maana mimi siku zote jamaa akija uk najua ametokea tz
Kakudanganya nani? Huyo Mwakinyo ana Talent Tanzania na siyo Marekani.US ukiwa na talent wao wenyewe wanakupatia uraia
UK ni Ukonga Madafu.Uk ya mbagala au
Tulia mkuuMwakinyo anaishi New York? Au sijaelewa?
Uk ya uk Mkuu Kwani kuna uk ya wapi na wapi?Uk ya mbagala au
Acha uongo.US ukiwa na talent wao wenyewe wanakupatia uraia
Sio kahamia Kuna temporary settlement ya mwakinyo huko new YorkMimi pia sijaelewa mwakinyo kahamia USA ?
Mwakinyo alihamia USA kabla ya pambano alirudi Tanzania labda kuchukua mizizi yakeMimi pia sijaelewa mwakinyo kahamia USA ?
Liam Smith kamshinda Eubank leoMtandao wa Ndoni wa Boxrec umebainisha kuwa mpiganaji kutoka Uingereza Liam Smith ambaye pambano lake la mwisho alipamabana na Bondia wa Tanzania, mwenye maskani yake nchini Marekani Hassan Mwakinyo, amefungiwa na Tume ya Michezo ya Jimbo la New York.
Sababu ya kuwekewa zuio hilo haijabainisha, lakini pia Mwakinyo amefungiwa kucheza Uingereza.
View attachment 2360708
Amekuwa diaspora?Ndio kahamia US kitambo tu nadhani pia kapata uraia wa USA. Swali lingine
Baikoko.Mwakinyo MDIGO atarudi kwenye fani yake ya taarabu na vigodoro