Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mimi pia sijaelewa mwakinyo kahamia USA ?Mwakinyo anaishi New York? Au sijaelewa?
Kwa mdomo ule New York atamchamba Nani?Itakuwa walifix gemu
Maana sababu za mwakinyo nazo hazitoshelezi kabisa
Wenzetu wanajua wanachokifanya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Baada ya kutoka ktk pambano ndugu yetu aliendelea kuzunguka zunguka na vile viatu ambavyo yeye alisema vilikuwa zinamuumiza na vilivyomfanya aumie, kuna video nyingi ndugu yetu alikuwa nje anaburudika na ndugu zetu wengine nchini uingereza Kwa kupigwa mapicha ,sasa mguu ulikuwa umepona na Kama ni vile viatu Mbona alikuwa bado amevivaa wakati wa kuongea na baadhi ya waandishi wa habari ? Ni Kweli na yeye maneno yake hayajitosheleziItakuwa walifix gemu
Maana sababu za mwakinyo nazo hazitoshelezi kabisa
Wenzetu wanajua wanachokifanya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wote wathenge nimeunganisha matukio ni kwamba wamefix mchezo na hii ni makampuni ya betting yangepigwa sana pesaWalifanya upumbavu sana hawa jamaa..
Wapuuzi hawaWote wathenge nimeunganisha matukio ni kwamba wamefix mchezo na hii ni makampuni ya betting yangepigwa sana pesa
Huyo smith yuko hapo kihuni huni sana hata huko USA ana kesi ingekuwa sababu za mwakinyo zile za propaganda angefungiwa pekeake .wameuza game ni hatar sana kwa carrier yao watajuta haswa mwakinyoWapuuzi hawa
Mwakinyo MDIGO atarudi kwenye fani yake ya taarabu na vigodoroHuyo smith yuko hapo kihuni huni sana hata huko USA ana kesi ingekuwa sababu za mwakinyo zile za propaganda angefungiwa pekeake .wameuza game ni hatar sana kwa carrier yao watajuta haswa mwakinyo