Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Hawa wazungu nao wanatia aibu.
Labda niulize amesaidia vipi nchi yake kwenye janga la Corona?
Duh!Hawa wazungu nao wanatia aibu.
Labda niulize amesaidia vipi nchi yake kwenye janga la Corona?
Mkuu,swali lako jibu lake ni rahisi tu.Kazi ya Mchawi sio kutatuta majanga ya binadamu,bali huongozwa na hekima iliyo juu kutambua iwapo janga fulani linaepukika au la.Kwa jamii za wachawi wanaojitambua kazi yao ni kuelewa matukio na kuyatolea mwongozo kwa kadiri wanavoweza kuona.Duh!Hawa wazungu nao wanatia aibu.
Labda niulize amesaidia vipi nchi yake kwenye janga la Corona?
Mungu akubariki sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mama akimaliza Kula Maulid nitampelekea Jina Lako mkuu
Mungu akubariki sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mama akimaliza Kula Maulid nitampelekea Jina Lako mkuu
Kwani Uchawi maana yake sio ndo hio?mtu wa maarifa ya mambo ya kiroho na utatbibuHabari mkuu,
Napenda kukujuza kuwa mimi ni mwalimu wa mambo ya kiroho lakini sio Mchawi ni bora ukaniita tabibu au mtu wa Maarifa.
Hapana uchawi ni tendo na mchawi ni mtendaji;Kwani Uchawi maana yake sio ndo hio?mtu wa maarifa ya mambo ya kiroho na utatbibu
mji ni christchurch lakini wamekabidhi mambo yao kwa mchawi.wasiwasi mkubwa wa wananchi wa New Zealand ni kwamba anaweza kuanza kuwaroga viongozi waliosababisha afukuzwe kazi!
mji ni christchurch lakini wamekabidhi mambo yao kwa mchawi.
Kwanza Hata huyo Christ alikua mchawi Kama wachawi Wengine wewe kufufua watu,kugeuza maji kua divai,kutembea juu ya maji,kufa na kufufuka Sasa huo si uchawi tu?mji ni christchurch lakini wamekabidhi mambo yao kwa mchawi.
👏👏👏Halafu kuna watu wanasema majuu hakuna juju.... Mimi ningeomba halmashauri ya Jiji la Dar nayo iniajiri kwa shughuli kama hizo
Kwamba uchawi unaweza kutatua kila tatizo?Duh!Hawa wazungu nao wanatia aibu.
Labda niulize amesaidia vipi nchi yake kwenye janga la Corona?