CITY 3+Mechi ya leo mancity na Newcastle itakuwa ya hasira. City wanataka faraja na kufuta huzuni kwa kufungwa na Madrid. Newcastle watapokea kipigo cha mbwa mwizi. City watafunga Masoli zaidi ya sita. Sterling ataondoka na matatu hartrick iwapo Guardiola hatambagua.
CITY 3+
Sure, nimebashiri tu, si kwamba sifahamu hiloMpira ni dakika 90 unaweza ukashangaa akapigwa au akatoa sare
Kwakua liver ame draw au [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu ligi kuu england imekwisha lasmi jana
Huo mmea umestawi [emoji3]View attachment 2216885
Heeee....!!!