Newcastle leo itachezea kipigo kikali kutoka mancity

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mechi ya leo mancity na Newcastle itakuwa ya hasira. City wanataka faraja na kufuta huzuni kwa kufungwa na Madrid. Newcastle watapokea kipigo cha mbwa mwizi. City watafunga Masoli zaidi ya sita. Sterling ataondoka na matatu hartrick iwapo Guardiola hatambagua.
 
Hakuna wewe the 'Magpies' tunamtungua mtu huko huko kwao!
 
wafungee tu

Man city wamuonee huruma abebe kombe la
ligi 😪😪 he is trying so hard 😪😪
 
Mechi ya leo mancity na Newcastle itakuwa ya hasira. City wanataka faraja na kufuta huzuni kwa kufungwa na Madrid. Newcastle watapokea kipigo cha mbwa mwizi. City watafunga Masoli zaidi ya sita. Sterling ataondoka na matatu hartrick iwapo Guardiola hatambagua.
CITY 3+
 
58315a15-a55e-46c4-80ed-269add77b8b0.jpg

Heeee....!!!
 
Back
Top Bottom