Mechi ya leo mancity na Newcastle itakuwa ya hasira. City wanataka faraja na kufuta huzuni kwa kufungwa na Madrid. Newcastle watapokea kipigo cha mbwa mwizi. City watafunga Masoli zaidi ya sita. Sterling ataondoka na matatu hartrick iwapo Guardiola hatambagua.